Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,300
- 20,971
Kama inavyojulikana ibilisi alikuws ni jini miongoni mwa kundi la malaika,na kwa kuwa majini yanasifa ya kuzaliana basi bila shaka ibilisi na yeye alikuwa na wazazi na ndugu pia, na kama inavyojulikana majini yapo ya aina mbalimbali na koo pia sasa je ibilisi anatokea ukoo upi wa ujinini?,wazazi wake majina yao ni nani na nani, vipi kuhusu ndugu zake ni akina nani na nani?
Nani alikuwa jini wa kwanza kuumbwa?Je na wao lilitokea tukio la Adamu na Hawa kule Eden? Historia yao ilikuwaje mpaka wakaletwa duniani na kuzaliana?Je inafanana fanana na baba yetu Adamu??
Historia inaonesha kwamba mara baada ya majini kumuasi Mungu kupindukia ,malaika walitumwa na Mungu kwenda kuangamiza mji wao(Kama walivyoangamiza miji mingine e.g Sodoma na Gomora),na waliwaangamiza majini yote kasoro mmoja ambaye ndiye huyu Ibilisi, Ibilisi kipindi hicho alikuwa mdogo sana hivyo malaika walimuonea huruma kumuangamiza hivyo waliamua kwenda naye mbinguni,lakini Mungu aliwatadharisha sana juu ya Ibilisi kwamba ndiye kiumbe kitakacholeta maafa makubwa siku za mbeleni lakini malaika walimuomba sana Mungu awaruhusu wakae naye , Mungu alowakubalia ili asionekane dikteta na mtesaji kama ambavyo Ibilisi alikuwa akiwaaminisha hivyo baadhi ya malaika.
Kwa hiyo mpaka hatua hii inaonesha si kweli kwamba bifu la Ibilisi na Mungu lilianzia pale Ibilisi alipokataa kumsujudia Adamu kwa kudai yeye ni bora zaidi kwa kuwa kaumbwa kwa moto tofauti na Adamu aliyeumbwa kwa udongo, inaonesha Ibilisi bado alikuwa na hasira na kinyongo kwa kutenganishwa/kuuliwa kwa ndugu zake na hao malaika kwa amri kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Sasa linakuja ,je baada ya Ibilisi kufukuzwa mbinguni uzao wake ulianzaje anzaje???Au je Ibilisi ndiye huyu Samael ambaye inasemekana ndiye aliyemchukua Lilith kutoka kwa Adamu na kuzaliana naye????