Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,478
Siyo tu siamini uwepo wa majini, sitaki kuamini, nataka kujua.Tuanzie hapa,je una amini uwepo wa majini?.
Siyo tu siamini uwepo wa majini, sitaki kuamini, nataka kujua.Tuanzie hapa,je una amini uwepo wa majini?.
Mkuu hilo swali la sita nimekuuliza je ibilisi na uzao wake wote hawatakufa mpaka mwisho wa dunia au ni ibilisi mkuu pekee ndiye aliyepata nafasi ya kuishi mpaka mwisho wa dunia,6)Kama ikiwa Ibilisi alipewa ruhusa ya kuishi mpaka mwisho wa dunia ,je hiyo ruhusa ilikuwa inawahusu mpaka vizazi vyake vilivyotokana na yeye??
NI YEYE NDIO ALIYEPEWA MUHULA WA KUISHI HADI MWISHO WA DUNIA NA KUISHILIA MOTONI YEYE NA JESHI LAKE(WAASI WENZAKE)
7)Nani alikuwa mke wake waliyeanzisha naye familia?
HANA MKE HANA FAMILIA ILA JAMII YAKE NI KTK MAJINI NAO MAJINI YANAZALIANA NA KUFA..MAJINI AKIWEMO YEYE IBILISI WALIUMBWA NA MUNGU KUTOKANA NA NDIMI ZA MOTO NA UPEPO
MKUU SOMA YALE MAJIBU YA AWALI KABISA...IBILISI MWANZO ALIKUWA UPANDE WA MUNGU TENA MCHAMUNGU.....IBILISI SIO KWAMBA NI WAKWANZA KUUMBWA AYA INSEMA MAJINI WALIUMBWA KWA MOTO AKIWA YEYE NI MMOJA WAPO NA WALIENDELEA KUZALIANA KAMA BINADAM YAN YY KUITWA IBILISI NI BAADA TU KUASI AMRI YA MUUMBAKwa mujibu wa jibu lako la kwanza unamaanisha kwamba Ibilisi hakuzaliwa bali aliumbwa kama Adamu , kwa hiyo bila shaka Ibilisi ndiye Jini wa kwanza kabisa kuumbwa siyo?
Je kama ikiwa yeye ndiye jini wa kwanza kuumbwa historia ya hao wengine waliofuatia ilikuwaje?
Swali la pili umedai Ibilisi ametokea ukoo wa majini wabaya na yeye ndiye mkubwa wao ,sasa inawezekana vipi yeye ndiye awe mkubwa wa majini wote wabaya halafu malaika walipoenda kuwasambaratisha majini wabaya wawasambaratishe wote halafu yeye mlengwa aachwe?
Bahati nzuri elimu ya majini ni ya kawaida sana hata leo hii ukitaka kuwaona utawaona ,kikubwa tu ufuate masharti yanayotakiwa.Siyo tu siamini uwepo wa majini, sitaki kuamini, nataka kujua.
IBILISI PEKEEMkuu hilo swali la sita nimekuuliza je ibilisi na uzao wake wote hawatakufa mpaka mwisho wa dunia au ni ibilisi mkuu pekee ndiye aliyepata nafasi ya kuishi mpaka mwisho wa dunia,
sijakuuliza kama ataingia motoni peke yake au na vizazi vyake
tofautisha baina ya maswali hayo mawili.
Kwa hiyo unamaanisha majini waliumbwa kwa mkupuo?MKUU SOMA YALE MAJIBU YA AWALI KABISA...IBILISI MWANZO ALIKUWA UPANDE WA MUNGU TENA MCHAMUNGU.....IBILISI SIO KWAMBA NI WAKWANZA KUUMBWA AYA INSEMA MAJINI WALIUMBWA KWA MOTO AKIWA YEYE NI MMOJA WAPO NA WALIENDELEA KUZALIANA KAMA BINADAM YAN YY KUITWA IBILISI NI BAADA TU KUASI AMRI YA MUUMBA
NDUGU NIMEKUAMBIA MAJINI YANAZALIANA KAMA BINADAMKwa hiyo unamaanisha majini waliumbwa kwa mkupuo?
Mkuu unaelewa unachokizungumza?NDUGU NIMEKUAMBIA MAJINI YANAZALIANA KAMA BINADAM
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa?Hadithi njoo..uongo njoo...utamu kolea
Kwa hiyo kupanua uwezo wa maarifa juu yake na sisi waja wake ni vibaya?Mungu anajua zaidi.tutosheke na machache aliyotujaalia kuyajua kuhusu yeye.na matukio makubwa yaliyotokea kabla binadamu hakuwepo.
mungu ndo wa kwanza na wa mwisho.
Sawa.Mkuu unaamini kuna shetani ?
Ni stiri za kutunga tu sawa a hadithi za kusadikika
MKUU NINAELEWA NINACHOKIZUNGUMZA LABDA WEWE NDIO UELEWI NINACHO KUAMBIAMkuu unaelewa unachokizungumza?
Nilikuuliza kuhusu kuzaliwa kwa ibilisi pia nikakuuliza kuhusu wazazi wake na anatoka katika aina gani ya majini.
Ukanijibu kwamba Ibilisi pamoja na majini wengine waliumbwa kwa moto ,
Nikaendelea kukuswalika je Ibilisi ndiye jini wa kwanza kuumbwa au waliumbwa na majini wengine kwa mkupuo kabla ya kuanza kuzaliana?
Si vibaya ni vizuri sanaa.Kwa hiyo kupanua uwezo wa maarifa juu yake na sisi waja wake ni vibaya?
Kwa nini umesema Ibilisi hazaliani bali anawafuasi tu wanaomtii?MKUU NINAELEWA NINACHOKIZUNGUMZA LABDA WEWE NDIO UELEWI NINACHO KUAMBIA
ACHA JIBU ILI LIWE LA MWISHO BAADA YA HILI SITAKUWA NA NYONGEZA ELIMU YANGU ITAKUWA NDIO UKOMO WAKE
MUNGU ALIWAUMBA MAJINI KUTOKA NA NDIMI ZA MOTO YANI ME NA KE NAO WAKAZALIANA....KTK HAO MAJINI KUNA WALIOKUWA WAASI NA WACHAMUNGU...JINI MIONGONI MWA HAO WACHAMUNGU ALIKUWA NI IBILISI NAE ALIISHI MBINGUNI PAMOJA NA MALAIKA (ALIPEWA CHEO ICHO KUTOKANA NA UCHA MUNGU WAKE MANA ALIWEZA KUSUJUDU KTK ARDHI YOTE YA DUNIA YANI KILA UNAPOGUSA ARDHI YEYE ALISHAWEKAGA PAJI LA USO(SIJDA).....KWAMBA IBILISI ALIZALIWA KATIKA MAJINI ILA KWAMBA WAZAZI NI NANI NA NANI ILO SIYO SWALI LA MSINGI NI SAWA NA KUUZA FIMBO YA MUSSA ILIKUWA NI YA MTI GANI MPINGO AU MSONOBARI AU KUULIZA TUNDA ALILOKUWA ADAM NI PEAS AU CHUNGWA ILA KIFUPI IBILISI ALIZALIWA KATIKA MAJINI NA MAJINI ASILI YAO NI MOTO....MAJINI YANAZALIANA NA KUFA ILA IBILISI ATAISHI MPAKA KIAMA,IBILISI YEYE HAZALIANI BALI ANA WAFUASI WANAOMTII NA KUMFUATA.....
MKUU ULIZA MWASWALI YA MSINGI MANA SITAKUSHANGAA KUJA KUULIZA NA BIRTHDAY YA IBILISI ILIKUWA LINI.....MAJINI YALIYOANGAMIZWA NI YALE MAASI WEMA WALIISHI NA KIZAZI CHAO NDIO ICHIKAMA KIZAZI CHA ADAM KILIVYO ANGAMIZWA ZAMA ZA NUHU.....NARUHUSU KUKOSOLEWA
NA ALLAH ANAJUA ZAIDI