minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Mbuzi jike CCM anawinda misaada ya Beberu ndiyo maana analazimisha covid 19 waaepo Bungeni ili bunge lionekane lina wapinzaniZile trillion mbili hazitatolewa na mabeberu .
Mbuzi jike CCM anawinda misaada ya Beberu ndiyo maana analazimisha covid 19 waaepo Bungeni ili bunge lionekane lina wapinzaniZile trillion mbili hazitatolewa na mabeberu .
Ndiyo Ndugai anataka hivyoNi mwendo wa kugonga meza kwa kila kitu ndiyoo linaenda kuwa bunge la ajabu Duniani
Marangapi ajiharibie jina..ina maana umeshaua sakata la cecil mwambe..tarajia kusikia sijapewa barua ya wao kufukuzwa uanachama..ama kesi kupelekwa mahakamani na kupiwa dana dana kwa miaka 5..ila sasa ni sawa na kazi bure ma wanachama gani ambao hata vikao vya kichama hawaingii..ukizingatia karibia wote walikua viongozi.Nina hofu ndugai na nec kwa swala hili wanaweza kujiharibia sifa. Ingewezekana kuwabeba kina halima kama wanachama wa chadema ila kwa kuwafukuza uanachama ndugai imebaki kuletewa taarifa rasmi tu ili awatimue kina halima bungeni. Vinginevyo itakua janga kuhusu utawala bora.
Kosa walilofanya.timing yao mbovu sana ,mwamba Yuko tayari kwa wanaojali haki za binadamu wao mafisi wanawaita beberu..Mbuzi jike CCM anawinda misaada ya Beberu ndiyo maana analazimisha covid 19 waaepo Bungeni ili bunge lionekane lina wapinzani
Kama imeweza kufanya yote tunayoshuhudia itashindwaje hilo?Wakuu habari ya leo?
Ukichunguza kwa jicho la tatu unaona wazi kabisa suala la wabunge wa viti maalum CHADEMA, kuanzia Spika na Dr. Mahera wote wanawaunga mkono na kusema ni wabunge halali na kanuni zote zimefuatwa.
Nahisi lazima kuna kikao cha siri na chenye ajenda nzito baina ya hao watu na watu walioshika dola.
Saivi wamevuliwa uanachama na watakosa sifa za kuwa wabunge.
SWALI NINALOJIULIZA:
JE, SERIKALI IKIAMUA KUWALINDA ILE KINDAKI NDAKI JE WANAWEZA KUENDELEA KUWA WABUNGE?
Mfano waende mahakamani na kesi ipigwe danadana mpaka miaka 5 iishe na muda huo wako mjengoni Chadema watafanya nini?
Na wakipeleka majina TUME YA UCHAGUZI halafu TUME majina hayo ikafungua maandazi na kukaa kimya itakuwaje.
Wajuzi wa mambo naombeni majibu.
Speaker wanamtambua ndugu, si mbunge wao wa Nkasi yumo bungeni au nimekosea? Na alishiriki kumpigia kura PM Majaliwa..kusema kwamba hawamtambui speaker sio sahihi maana wana mtu wao kule bungeniWABUNGE WALIOFUKUZWA CHADEMA WATAENDELEA KUWA WABUNGE KWA SABABU IFUATAYO.
Taarifa rasmi inasema wabunge wote 19 walioapa kama wabunge wa viti maalum kutoka chadema wamevuliwa uanachama. Sheria inakitaka chama cha CHADEMA kumjulisha spika Kwa barua kuwa hao sio wanachama tena wa chadema na Kwa hiyo ubunge wao unakomea hapo.
Sasa changamoto walionao CHADEMA ni kuwa watamuandikia Spika yupi? Maana Spika aliyepo hawamtambui. Chadema Mpaka sasa hawatambui uwepo wa spika. Spika aliyepo ametokana na uchaguzi ambao hawatambui. Watamwandikia spika yupi? Wakijichanganya kumwandikia basi watakuwa wametambua uwepo wa spika. Na kama wamemtambua basi watakuwa wametambua matokeo ya uchaguzi. Na Kwa kuwa hawataandika hiyo barua, hao wabunge wataendelea kuwa wabunge Kwa mujibu wa sheria.
Usicheze na siasa.
hawa COV 19 wangeweza kufanikisha hilo unalosema kwa kipindi kileee ambacho bado ni WANACHADEMA kuanzia siku ile waliovuliwa chupi mpaka magamba yao wakashindwa kuchutama basi mpaka muda huu tunaongea hao COV 19 walikuwa ni.. WANACHADEMA wameshapoteza lkn kwasasa si wana CDM wataisikia kwenye twita insta jf tu. wakikienda kushtaki watakuwa wanajifurahisha tu.Nahisi uko sahihi, maana hii dola ya sasa inafanya mambo ambayo hatukuyazowea kabisa, Hivyo Akina MDEE wanaweza kwenda mahakamani na mambo yakaisha na wakaendelea kula pension mjengoni kwa kigezo kuwa mahakama haitoa maamuzi, na mpaka miaka 5 ikaisha.
Propaganda za wajinga wa ccm zinafahamika mutasema mpaka vinya viote uyoga CC ya chadema imeshawafukuza kaeni naoInasemekana mwenyekiti na wenzake walikuwa na orodha yao ya wabunge waliotaka wachukue zile nafasi, na kiuhalisia watu waliokuwa wamechaguliwa walikuwa ni wake zao, mademu zao, dada zao na ndugu ambao vigogo wa chama wangenufaika moja kwa moja na pesa zao za mishahara.
Sasa ile orodha ikavuja na akina Mdee wafia chama wapambanaji hawakuwemo katika list hiyo. Ndiyo chanzo cha movie hii.
Ngoja tusubir episode 3.
hawawezi peleka manake hakukuwa na uchaguzi bali uchafuziIvi chadema ikipeleka majina mengine ya viti maalumu itakuaje?
Yes, itawalinda. Hukusikia Ndugai anasema wazi wazi? Serikali isiyofuata sheria inawalinda tu bila aibu!Yes watalindwa
Haahaa ndugai alishindwa kuwalinda kina bulaya na mumewe mdee walivyopewa kipondo kule segerea mpaka kuvunjwa mkono awalinde leo?Hahaha msihangaike wale ni wabunge wa Ndugai, alisema mwenyewe TBC aridhio kwamba atawalinda kwa gharama yoyote ile.
Hahaha kipindi kile walikuwa Chadema kwa sasa wale wameshafukuzwa Chadema ni ccm wa kufikia.Haahaa ndugai alishindwa kuwalinda kina bulaya na mumewe mdee walivyopewa kipondo kule segerea mpaka kuvunjwa mkono awalinde leo?