Je, Serikali ina uwezo wa kuwalinda Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA waliofukuzwa Uanachama?

Nina hofu ndugai na nec kwa swala hili wanaweza kujiharibia sifa. Ingewezekana kuwabeba kina halima kama wanachama wa chadema ila kwa kuwafukuza uanachama ndugai imebaki kuletewa taarifa rasmi tu ili awatimue kina halima bungeni. Vinginevyo itakua janga kuhusu utawala bora.
Marangapi ajiharibie jina..ina maana umeshaua sakata la cecil mwambe..tarajia kusikia sijapewa barua ya wao kufukuzwa uanachama..ama kesi kupelekwa mahakamani na kupiwa dana dana kwa miaka 5..ila sasa ni sawa na kazi bure ma wanachama gani ambao hata vikao vya kichama hawaingii..ukizingatia karibia wote walikua viongozi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mbuzi jike CCM anawinda misaada ya Beberu ndiyo maana analazimisha covid 19 waaepo Bungeni ili bunge lionekane lina wapinzani
Kosa walilofanya.timing yao mbovu sana ,mwamba Yuko tayari kwa wanaojali haki za binadamu wao mafisi wanawaita beberu..
Wakae kwa utulivu.Ila beberu hatoi hata mia.
 
Wakuu habari ya leo?

Ukichunguza kwa jicho la tatu unaona wazi kabisa suala la wabunge wa viti maalum CHADEMA, kuanzia Spika na Dr. Mahera wote wanawaunga mkono na kusema ni wabunge halali na kanuni zote zimefuatwa.

Nahisi lazima kuna kikao cha siri na chenye ajenda nzito baina ya hao watu na watu walioshika dola.

Saivi wamevuliwa uanachama na watakosa sifa za kuwa wabunge.

SWALI NINALOJIULIZA:

JE, SERIKALI IKIAMUA KUWALINDA ILE KINDAKI NDAKI JE WANAWEZA KUENDELEA KUWA WABUNGE?

Mfano waende mahakamani na kesi ipigwe danadana mpaka miaka 5 iishe na muda huo wako mjengoni Chadema watafanya nini?

Na wakipeleka majina TUME YA UCHAGUZI halafu TUME majina hayo ikafungua maandazi na kukaa kimya itakuwaje.

Wajuzi wa mambo naombeni majibu.
Kama imeweza kufanya yote tunayoshuhudia itashindwaje hilo?
 
WABUNGE WALIOFUKUZWA CHADEMA WATAENDELEA KUWA WABUNGE KWA SABABU IFUATAYO.

Taarifa rasmi inasema wabunge wote 19 walioapa kama wabunge wa viti maalum kutoka chadema wamevuliwa uanachama. Sheria inakitaka chama cha CHADEMA kumjulisha spika Kwa barua kuwa hao sio wanachama tena wa chadema na Kwa hiyo ubunge wao unakomea hapo.

Sasa changamoto walionao CHADEMA ni kuwa watamuandikia Spika yupi? Maana Spika aliyepo hawamtambui. Chadema Mpaka sasa hawatambui uwepo wa spika. Spika aliyepo ametokana na uchaguzi ambao hawatambui. Watamwandikia spika yupi? Wakijichanganya kumwandikia basi watakuwa wametambua uwepo wa spika. Na kama wamemtambua basi watakuwa wametambua matokeo ya uchaguzi. Na Kwa kuwa hawataandika hiyo barua, hao wabunge wataendelea kuwa wabunge Kwa mujibu wa sheria.

Usicheze na siasa.
Speaker wanamtambua ndugu, si mbunge wao wa Nkasi yumo bungeni au nimekosea? Na alishiriki kumpigia kura PM Majaliwa..kusema kwamba hawamtambui speaker sio sahihi maana wana mtu wao kule bungeni
 
Nahisi uko sahihi, maana hii dola ya sasa inafanya mambo ambayo hatukuyazowea kabisa, Hivyo Akina MDEE wanaweza kwenda mahakamani na mambo yakaisha na wakaendelea kula pension mjengoni kwa kigezo kuwa mahakama haitoa maamuzi, na mpaka miaka 5 ikaisha.
hawa COV 19 wangeweza kufanikisha hilo unalosema kwa kipindi kileee ambacho bado ni WANACHADEMA kuanzia siku ile waliovuliwa chupi mpaka magamba yao wakashindwa kuchutama basi mpaka muda huu tunaongea hao COV 19 walikuwa ni.. WANACHADEMA wameshapoteza lkn kwasasa si wana CDM wataisikia kwenye twita insta jf tu. wakikienda kushtaki watakuwa wanajifurahisha tu.
 
Inasemekana mwenyekiti na wenzake walikuwa na orodha yao ya wabunge waliotaka wachukue zile nafasi, na kiuhalisia watu waliokuwa wamechaguliwa walikuwa ni wake zao, mademu zao, dada zao na ndugu ambao vigogo wa chama wangenufaika moja kwa moja na pesa zao za mishahara.


Sasa ile orodha ikavuja na akina Mdee wafia chama wapambanaji hawakuwemo katika list hiyo. Ndiyo chanzo cha movie hii.

Ngoja tusubir episode 3.
Propaganda za wajinga wa ccm zinafahamika mutasema mpaka vinya viote uyoga CC ya chadema imeshawafukuza kaeni nao
 
Ndugu zangu ni hivi Chadema viti wanavitaka kupitia njia hasmi, wanataka kwanza hoja zao kuu Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, kupitia viti hivi ndiyo kete yao ya kuwafanya CCM kukaa meza nao . CCM siyo kwamba inawapenda kina Covid 19, hapana wametaka kuwatumia kusudi watimize maengo yao haswa kupata mikopo na misaada kupitia nchi wahisani, kumbuka kuna tr 2 za EU kwa mwaka kwa ajiii ya kuendeeza demokrasia serikaii inapata, pamoja na misaada na mikopo IMF, WB na nchi marafiki. Wabunge hao wanatakiwa kuunda kambi ya upinzania ndani ya Bunge itakayowezesha kutimiza takwa kuunda kamati kuu tatu zitakazopeekea kupata hizo pesa.

Kwa Kamati Kuu ya Chadema kuwafukuza uanachama Covid 19, ndugai hata kama atawangangania au mahakama bado Chadema wana nguvu mbee ya nchi wahisani kwa kushinikiza wasitoe pesa kwani si wanachama wao na wanaushahidi unaweza kuwashinikiza wasitoe pesa. CCM hawana namna wakae meza moja na CDM. Rejea mazungumzu ya Tundu akiwa ubegiji amesema Magu atafute maridhiano nao. Na ndiyo maana madiwani wa chadema wanaendeea kuapa na Aida Kenan hajafukuzwa. CCM wamepewa mtego na chadema kuwaazimisha wakae mezo moja. Kumbuka Kikwete aikuwa anakaa nao na kuwaita White House na mambo yaiisha.
 
Watawainda pesa za mabeberu wanaochangia asiimia 4o ya bajeti wahapati na watashidwa kukamiisha maengo yao.
 
Mdee na wenzake sio wanachama Tena wa CHADEMA. Kama spika ndugai na serekali wataamua waendelee kuudhuria vikao vya bunge Hilo ni lao. Dunia nzima inajua kuwa Halina na Wenzake wooooote 19 sio wabunge wa CHADEMA.
 
Hahaha msihangaike wale ni wabunge wa Ndugai, alisema mwenyewe TBC aridhio kwamba atawalinda kwa gharama yoyote ile.
 
Jambo nafanananisha na kuwa na mchumba akakukataa ukaoa msichana mwingine, mchumba wa zamani anakufuata anakwambia nakupenda sana niidanganyika. Wengi wa Covid 19 wamegombea majimbo kupitia CDM wakadhaminiwa na chama. CCM hawakuwataka kabisa hata waioshinda uchaguzi wakawanyima sasa wanawaona ni dhahabu mmmh uwongo mkubwa huo. Kama kweii waikuwa wanawapenda wangekubaii kushinda kupitia majimbo waiogombea.

Kwenye uandishi wa habari kuna kitu kinaitwa 5W and one H. Katika W hizao kuna Why yaani why now kwa kweii ni swaii zuri sana, kwa nini baada ya CCM kuwanyima ubunge wa majimbo wanaona wao ni wa muhimu sasa. Siyo kwamba wanawapenda baii wanataka wawatumie wapate pesa za wahisani tuu. Sijui kwa nini Covid 19 hawangamui haya.
 
Kwa vile serikali ya awamu ya tano haiheshimu katiba yaweza walinda wakaendelea kuwa wabunge kwa chama kiitwacho ndugai
 
Hahaha msihangaike wale ni wabunge wa Ndugai, alisema mwenyewe TBC aridhio kwamba atawalinda kwa gharama yoyote ile.
Haahaa ndugai alishindwa kuwalinda kina bulaya na mumewe mdee walivyopewa kipondo kule segerea mpaka kuvunjwa mkono awalinde leo?
 
Back
Top Bottom