Je, Samsung Galaxy S7 Edge 2020 bado ni bora?

Mkuu hizi simu za sansung inakuaje ukitumia baada ya nda kama ubora wa camera unapungua na experience na A6+ n sasa A30s....

Na pia kunajamaa ana s8 naona camera haina ubora niliosoma gsm arena japokua tunefanya test zote za kuchek kama fake ipo ok
S8+ yangu niliiweka Gcam. Picha zake hatari tupu.
 
Mimi yangu imefikisha mwaka jana,bado ni piru,inatunza chaji,display nzur....naomb nielekeze tu jinsi ya ku upgrade kwend android 9 niendelee kula maisha
Jaribu kuangalia kwenye software update. Android 9 imetoka zamani sana kwa hiyo simu.

Napenda kuanzia android 9 kwa sababu ya Dark mode.
 
I’ve been in this business for a while long enough.
My experience,

1. Samsung wana series kuu 4.
  • Note Series ie Galaxy note 1 to Note 20 Ultra
  • S Series ie Galaxy S1 to S20 Ultra
  • J Series ie Galaxy J1 to J8+ (Stopped)
  • A series ie Galaxy A1 to A9 then A2core to A80.

2. S and Note Siries ndizo zinazo compete in World market na ndio best Series so far kwenye Camera, Display Quality and etc.
Ila kwenye Battery ilikua changamoto hadi 2017 walipoyoa S8 na S8+ Sambamba na Note 8 baada ya Note 6 and 7 kubuma(Kuripuka na kusitishwa.


3. J na A series since back then hizi zilikua midrange or budget phones with peak Battery performance.
Hizi Watu walikua wanafurahia sana ukaaji wa Charge.

A very sincere advice,
Kama wataka S ama note series chukua za kuanzia 2017 ndio yalifanyika maboresho makubwa.
Chini ya hapo Utafurahia vitu vingine ila Battery itakutesa.
 
S7edge, na + watu walilalamika sana zina matatizo lukuki sijui fake zilijaa sana au vip.

Ila S7 plane hii wameisifia sana kuwa ni nzuri.

Ushauri chukua S8 ambayo inaweza pokea OS 10
s8 inaishia android 9
 
Hii imekaaje wajomba???
Screenshot_20210119-172112_1611066116959.jpg
 
Back
Top Bottom