SAM THE MAN Brighton lead Aston Villa in £12m transfer chase for Tanzania striker Mbwana Samatta

yamindinda

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,581
1,318
BRIGHTON head a queue of Premier League clubs interested in signing Genk striker Mbwana Samatta.

The Seagulls, newly-promoted Aston Villa, Leicester, Watford and Burnley are all eyeing up the £12million-rated Tanzania international.

And Samatta, 26, is understood to be keen to move to England after an outstanding season in Belgium’s top flight.

He scored 23 goals to help Genk lift the title and also won the Ebony Shoe - an award given to Belgium’s best player of African descent.

The gong has previously been picked up by Romelu Lukaku, Vincent Kompany and Michy Batshuayi.

Samatta will lead the line for Tanzania at the African Nations Cup later this month - the first time his country has qualified for the event since 1980.

But after the tournament has finished, he hopes to leave Genk, who he joined in January 2016 from Congo club TP Mazembe, and come to the Premier League.

Brighton have been monitoring Samatta for some time and ex-boss Chris Hughton was a big fan, while new chief Graham Potter also rates the forward.

But they face competition from a number of their top-flight rivals, as well as clubs on the Continent, including Roma and Lyon.

Yani Samatta akienda Brighton kwa sasa itakuwa mwisho wa carrier yake kimataifa atarudi Africa au ataenda ligi za ulaya mashariki ama kwa waarabu😝😝
 
Maamuzi yake ndo yanayoweza kumfanya asonge mbele zaidi au apotee, inabidi apate washauri wazuri kwenye hili, kwa maana kuondoka kwake Genk inaweza pia kumletea majuto huko mbeleni
 
Unamjua yule mkongo ana mafanikio mara 10 ya Samatta na kwanini anacheza Anderlecht sasa?

Swali kama halina maana

Kwa hiyo mchezaj akiwa hana mafanikio makubwa hapasw kuchuza timu za haz ya juu?
Pili naomba orodheshea mafanikio ya huyo mcongo alaf tambua Samatta alisha wah kua mcheza bora wa Afrika bado akawa mfungaj bora ccl akawa tena mfungaji bora ligi kuu Ubeligiji mbali na kuwa mfungaji bora pia tambua na vikombe kachukua pale Congo kikombe cha ccl lig kuu nchni Congo ligi kuu nchini Ubeligiji pia kafika robo fainal ya Uefa uropa league ww unazungumzia mafanikio gan?
 
Mimi naona hasiwe na haraka, ameshafinikiwa kucheza EUFA acha acheze maana hapo ndio kioo cha kuonwa na timu nyingi, kama ni usajili basi asubiri dirisha dogo atapata timu za kutosha lakini kwanza amalize kile amekifanya mpaka timu yake inacheza EUFA. wachezaji wengi wanatamani kucheza ligi hiyo yeye kwa nini aende kitimu kidogo kama hicho
 
Timu ndogo inashiriki ligi kuu?
Kua makini ndugu huu ndio mda mwafaka wa Samatta kutimkia ligi kumbwa kama Epl alafu kumbuka Age nayo aisimami sioni manufaa ya kuendelea kucheza Genk namshauri akatafute changamoto mahali pengine kwasababu sizani kama hapo Genk atapata mafanikio zaidi ya hayo aliyo yapata huko Uefa wanapokwenda watakomea makundi tu
Pili tambua hata hao Genk wanaitaji pesa sasa hawatokubali Samatte aje aondoke bure msimu ujao
 
[/QUOT
wa hiyo kila timu inayocheza EPL wewe unaona ni timu kubwa ona thamani ya team hizi mbili na ulinganishe. Genk utajiri wake ni 123.75 Million Euro wakati Aston Villa ni 11.8Miilion Pound. Pili nilisema kila mchezaji anatamani kuchezea timu iliyoko EUFA ligi. Sasa itakuwa akili gani uende kuchezea timu inayopanda lingi kisa eti iko EPL? kichwa chako kitakuwa siyo sawa
 
Mchezaji mwenyewe anasema anatamani kucheza Epl alafu wewe unadai ya kwamba acheze Uefa ili iweje? Kwani akicheza Epl wakafanya vizuri hawawezi kwenda kucheza hiyo Uefa pili ebu weka kumbu kumbu vizuri gharama ya Samatta ni paund mil12 alafu utajir wa Aston Villa ni paund mil11 kwa maana hyo A.Villa hawana uwezo wa kumsajil Samatta weka kumbukumbu vizuri halafu urudi tena
 
Mimi naona hasiwe na haraka, ameshafinikiwa kucheza EUFA acha acheze maana hapo ndio kioo cha kuonwa na timu nyingi, kama ni usajili basi asubiri dirisha dogo atapata timu za kutosha lakini kwanza amalize kile amekifanya mpaka timu yake inacheza EUFA. wachezaji wengi wanatamani kucheza ligi hiyo yeye kwa nini aende kitimu kidogo kama hicho
anaweza akaenda huko uefa akapangiwa barcelona,Munich ,PSG,wakabutuliwa fasta wakarudi zao ubelgiji na ndio mumsahau kabisa ligi kubwa ,acha aende now there is no another tommorow
 
Mnamualia au anajiamlia. Ya nini mjadala? Akienda au kutokwenda ni juu yake na uamzi wake mwenyewe kama mtu mzima miaka 27
 
Aonwe na timu uefa halafu anatoka makundi

Back
Top Bottom