Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

Tueleze wewe uliyemkosoa! Umesema wazi wazi hajui jinsi ICC inavyo operate,maana yake wewe unafahamu! Ndio maana Mkuu hapo juu amekuuliza wewe hilo swali utoe ufafanuzi,ukisema tena mtoa Mada atoe ufafanuzi utakuwa unajichanganya!
Absolutely yes! Ili kutenda haki alipaswa kusema how Roma anaweza kuwa shahidi angainst whom and under which chareges na kwa misingi ipi? Sasa kuropoka tu bila hata kujua ABC ya ICC huo nao ni uzwazwa!
Mleta maada alipaswa adadavue, ndio maana nikwakwambia ni Ngumbalu wa hizi mambo by just looking on what he just wrote!
 
Mshana Jr,
Mnavyoishobokea ICC, wakati inaonyesha wazi hamjui chochote kuhusu Mahakama hii and how it oparate. Kwa ulichoandika ni wazi we ni Mbumbumbu wa ICC! Hujui chochote!
It seems wewe ndiyo mbumbumbu mkuu. soma Rome statute especially Article 7 ambayo imetaja makosa 11 ambayo yakitokea Mahakama ya ICC ina mamlaka ya kusilikiliza kesi kutokana na makosa hayo.
Kosa mojawapo ni "Enforced disappearance of persons" means the arrest, detention or abduction of persons by, or with the authorization, support or acquiescence of, a State or a political organization, followed by a refusal to acknowledge that deprivation of freedom or to give information on the fate or whereabouts of those persons, with the intention of removing them from the protection of the law for a prolonged period of time.
 
Sasa ujuaji umefikaje hapa dogo
 
Mtoa maada ndo boya kwa kuleta vitu ambavyo hata havielewi, kisa kujitia unuaji wa kila kitu. Yeye abaki kwenye matunguli huku awaachie wenye weledi wao. Unaleta issue ya ICC halad huelezi how Roma anaweza kuwa shahidi kwa angle ipi na makosa yapi and against who. Huo ndo ugreat thinker, siyo kuleta habari au arguement ambayo haina basis yoyote. Huu ni ujuha!
 
Jf search engine
Mkubali mkatae Mshana ni zwazwa anapenda shinda mitandaoni anacopy vitu analeta Jf si ajabu atakuwa anadownload na porn hawa wazee wetu hawa ahahahhaahhahaha COPY CAT MSHANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahhaahhahahahaahhaaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukitegemea marekani bado hatupo salama! Hata rais wao anatuhumiwa kwa ukandamizaji! Tuamue sisi kupambania nchi yetu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…