kurlzawa JF-Expert Member Jan 23, 2018 16,703 20,606 Nov 16, 2020 #1 Habari za leo wakubwa? Kama tulivyoona kilichotokea Zanzibar maji kufuata mkondo. Je, itawezeka na huku Tanzania bara? Kama tujuavyo uchaguzi ujao 2025 ni zamu ya upande wa dini nyingine kutoa mgombea yaani (Muslims) Nimekaa nimetafakari nikaona kabisa huku tunaweza kufanyiwa kama Zanzibar the next One ni Ridhiwani mtoto pendwa na maarafu wa mzee wetu Jakaya. Je, ataweza kufikia hata robo ya utawala wa Baba yake? Njoo utoe maoni yako.
Habari za leo wakubwa? Kama tulivyoona kilichotokea Zanzibar maji kufuata mkondo. Je, itawezeka na huku Tanzania bara? Kama tujuavyo uchaguzi ujao 2025 ni zamu ya upande wa dini nyingine kutoa mgombea yaani (Muslims) Nimekaa nimetafakari nikaona kabisa huku tunaweza kufanyiwa kama Zanzibar the next One ni Ridhiwani mtoto pendwa na maarafu wa mzee wetu Jakaya. Je, ataweza kufikia hata robo ya utawala wa Baba yake? Njoo utoe maoni yako.
M Missile of the Nation JF-Expert Member May 24, 2018 13,505 51,107 Nov 16, 2020 #2 Hii nchi siyo ya kisultani
park don JF-Expert Member Dec 2, 2017 4,918 7,023 Nov 16, 2020 #4 Next president wa URT atakuwa Dr Hussein Mwinyi
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,276 Nov 16, 2020 #5 Wapiga kura ni TISS kwani Watanzania wana maamuzi!
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Apr 13, 2017 44,593 188,808 Nov 16, 2020 #6 Ndiko tunakoelekea kama mambo ya Uchafuzi yakiendelea.
uniq JF-Expert Member Nov 22, 2011 5,089 31,085 Nov 16, 2020 #7 park don said: Next president wa URT atakuwa dr Hussein Mwinyi Click to expand... Yes umeona vyema. Dr Hussein Mwinyi anaweza akawa RAIS kwa miaka 15
park don said: Next president wa URT atakuwa dr Hussein Mwinyi Click to expand... Yes umeona vyema. Dr Hussein Mwinyi anaweza akawa RAIS kwa miaka 15
kurlzawa JF-Expert Member Jan 23, 2018 16,703 20,606 Nov 16, 2020 Thread starter #8 Missile of the Nation said: Hii nchi siyo ya kisultani Click to expand... Hauwezi kufanya lolote mkuu ngoja apewe wizara kwanza akomae kidogo.
Missile of the Nation said: Hii nchi siyo ya kisultani Click to expand... Hauwezi kufanya lolote mkuu ngoja apewe wizara kwanza akomae kidogo.
kurlzawa JF-Expert Member Jan 23, 2018 16,703 20,606 Nov 16, 2020 Thread starter #9 Sky Eclat said: Wapiga kura ni TISS kwani Watanzania wana maamuzi! Click to expand... Ndiyo watakao muweka namaanisha
Sky Eclat said: Wapiga kura ni TISS kwani Watanzania wana maamuzi! Click to expand... Ndiyo watakao muweka namaanisha
S Simba zee 33 JF-Expert Member Sep 15, 2020 1,374 1,558 Nov 16, 2020 #10 Dotto au Kheri James wana nafasi nzuri maana ni vijana I am just saying 😎
kurlzawa JF-Expert Member Jan 23, 2018 16,703 20,606 Nov 16, 2020 Thread starter #11 PutinV said: Ni mapema sana. Hatuna uhakika kufikia 2025 mambo yatatokea kama tunavyo tarajia. Click to expand... Ngoja apewe wizara kwanza
PutinV said: Ni mapema sana. Hatuna uhakika kufikia 2025 mambo yatatokea kama tunavyo tarajia. Click to expand... Ngoja apewe wizara kwanza
kurlzawa JF-Expert Member Jan 23, 2018 16,703 20,606 Nov 16, 2020 Thread starter #12 Simba zee 33 said: Dotto au Kheri James wana nafasi nzuri maana ni vijana I am just saying,,,,,,,,,,,,,,,, Click to expand... Dotto&Kheri Dotto yupo humble sana sio kama kheri
Simba zee 33 said: Dotto au Kheri James wana nafasi nzuri maana ni vijana I am just saying,,,,,,,,,,,,,,,, Click to expand... Dotto&Kheri Dotto yupo humble sana sio kama kheri
MJENGA JF-Expert Member Nov 18, 2012 884 848 Nov 16, 2020 #13 Acha uzandiki usio na kichwa wala kiwiliwili!
S Simba zee 33 JF-Expert Member Sep 15, 2020 1,374 1,558 Nov 16, 2020 #15 kurlzawa said: Dotto&Kheri Dotto yupo humble sana sio kama kheri Click to expand... WOTE wananafasi sawa in term of family affairs
kurlzawa said: Dotto&Kheri Dotto yupo humble sana sio kama kheri Click to expand... WOTE wananafasi sawa in term of family affairs
kurlzawa JF-Expert Member Jan 23, 2018 16,703 20,606 Nov 16, 2020 Thread starter #17 MJENGA said: Acha uzandiki usio na kichwa wala kiwiliwili! Click to expand... Mkuu kwa mwenye dhiki nini dhambi?
MJENGA said: Acha uzandiki usio na kichwa wala kiwiliwili! Click to expand... Mkuu kwa mwenye dhiki nini dhambi?
P Pohamba JF-Expert Member Jun 2, 2015 27,639 61,068 Nov 16, 2020 #18 24 hrs kwenye Siasa ni muda mrefu sana seuze 5 years from now! Kikawaida japo si sheria Rais wetu mara nyingi huwa amehudumu kwny Serikal mbili tofauti kabla ya kuwa Rais Mkapa alihudumu kwa Nyerere na Mwinyi Jk alihudumu kwa Mwinyi na Mkapa JPM alihudumu kwa Mkapa na Jk Kama mazoea hayo yataendelea, tuwatazame watu walioanza wakati wa JK na wataendelea awamu na wasiwe above 60 kama muongozo mpya wa leo ulivyotoka Kigwa, Mwigulu, January( kama atakuwepo this time) n.k
24 hrs kwenye Siasa ni muda mrefu sana seuze 5 years from now! Kikawaida japo si sheria Rais wetu mara nyingi huwa amehudumu kwny Serikal mbili tofauti kabla ya kuwa Rais Mkapa alihudumu kwa Nyerere na Mwinyi Jk alihudumu kwa Mwinyi na Mkapa JPM alihudumu kwa Mkapa na Jk Kama mazoea hayo yataendelea, tuwatazame watu walioanza wakati wa JK na wataendelea awamu na wasiwe above 60 kama muongozo mpya wa leo ulivyotoka Kigwa, Mwigulu, January( kama atakuwepo this time) n.k
kurlzawa JF-Expert Member Jan 23, 2018 16,703 20,606 Nov 16, 2020 Thread starter #19 kawoli said: Makonda ni next president Click to expand... Yote kheri men who knows
kurlzawa JF-Expert Member Jan 23, 2018 16,703 20,606 Nov 16, 2020 Thread starter #20 Pohamba said: 24 hrs kwenye Siasa ni muda mrefu sana seuze 5 years from now!... Click to expand... Kwaiyo una maanisha?
Pohamba said: 24 hrs kwenye Siasa ni muda mrefu sana seuze 5 years from now!... Click to expand... Kwaiyo una maanisha?