Je, Rais wa Zanzibar si lazima awe na degree? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Rais wa Zanzibar si lazima awe na degree?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Bluray, May 19, 2009.

 1. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hivi rahisi (oops... rais) wa Zanzibar hashurutishwi kuwa na degree ya Chuo Kikuu? Karume anayo?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  May 19, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kwa nini? Kuna ulazima wa kuwa na degree kuwa raisi?
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  awe nayo ili iweje?
   
 4. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Swali siyo whether anayo au hana, na mimi nitakuwa mtu wa kwanza ku disassociate leadership na formal education in general, ingawa formal education inafungua macho sana na under constant conditions mtu mwenye formal education anakuwa na upeo mkubwa kuliko asiye na formal education, the stress is "under constant condition".

  Swali ni, utaratibu ni upi? Anatakiwa kuwa nayo au si lazima? Na Je Karume alifuatisha utaratibu au hakufuatisha?

  Najua sifa za rais wa Tanzania ni lazima awe na degree, kwa Zanzibar ni hivyo au sivyo?

  Wikipedia hawaonyeshi kamba ana degree

  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Amani_Abeid_Karume"]http://en.wikipedia.org/wiki/Amani_Abeid_Karume[/ame]
   
  Last edited: May 19, 2009
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  May 19, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Bongo na Afrika watu wengi tu hawafuati taratibu. So haitanishangaza kama hakufuata taratibu zozote zile maana kila kukicha taratatibu zinavunjwa. Who the hell cares?
   
 6. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  JF cares,

  Halafu ngoma ipo katika katiba ya jamhuri, mtu akishawahi kuwa rais wa Zanzibar ana qualify automatically kugombea urais wa Tanzania, overriding the degree requirement.

  Kwa hiyo tunaweza kujikuta CCM imetupa Karume kama mgombea wa urais (in theory) akatumia loophole hii kuwa rais bila ku satisfy hiyo requirement ya degree.

  Mfikirie Kikwete minus the degree, patamu.
   
 7. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Hii sheria ya kuwa mgombea urais lazima awe na degree ni ya katiba ya CCM au katiba ya Jamhuri?
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  May 19, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mimi nadhani ni ya CCM tu kwa sababu sidhani kama Mbowe ana digrii. Hata Mrema ile 95 hakuwa na hiyo "digrii" yake aliyonayo sasa

  Hivi kwani Mwinyi ana digrii?
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  May 19, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Who is JF? Am I JF too?
   
 10. O

  Ogah JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  JF Mtandao....lol
   
 11. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Zuma anayo?
   
 12. k

  kela72 Senior Member

  #12
  May 20, 2009
  Joined: May 5, 2008
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya mambo ya kuwa Raisi lazima awe na degree yako CCM na sisi watu wazima kidogo tunakumbuka yalianza wakati harakati za kumzuia Mrema Lyatonga asigombee uraisi ndani ya CCM, kipindi hicho anaichachafya mno CCM! Hata huko Ulaya silazima mkuu wa nchi awe na degree, kumbuka JOHN MAYOR wa Uingereza hakuwahi kuwa na degree ila aliwahi kuwa Konda West Indies.
   
 13. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Hivi Mkuu Dunia ya leo huoni umuhimu wa mtu kuwa na Degree! Hasa akiwa ni kiongozi wa nchi! Lakini sawa tu Mtindiowa Ubongo.
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nimeuliza awe na degree ili iweje..Maana inashangaza hili suali lilivyo la kitoto. Dunia ya leo ina challenge zake na huwezi kuamini au kutegemea ktk utawala na uwezo wa mtu mmoja au degree ya mtu mmoja.

  Ukielewa haya utajua kwa nini nimeuliza ili iweje..
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kamba..i mean kwamba wikipedia haioneshi kuwa ana degree si msingi wa kusema kuwa hana degree. Source yako ya info si absolute information to us, na credibility yake sio ya kihivyo.

  BTW, last time i checked a certain thread in JF, Karume alikuwa akisoma Open Univ sijui kama ameshahitimu.
   
 16. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
 17. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Umeshindwa kuelewa nini nimemaanisha kwa kusema "Wikipedia haionyeshi kwamba ana degree" nimeanzisha uchunguzi, nimetoa rekodi zake zilizo public kwa kadiri nilivyoweza kuzipata, hakuna degree.

  Wikipedia sio authoritative source, tupe iliyo authoritative inayo settle hili swala.

  Halafu hueleweki, mara degree siyo muhimu and then at the same time unabisha kwamba hana degree.

  Utaratibu wa CCM kumpata rais si lazima awe na degree? Je rais wa Zanzibar naye ni lazima? Kama si lazima why the double standard?

  Karume hana degree, kama kuna mtu anajua kasoma wapi atuwekee authoritative source hapa.

  I will be the first to say, and actually I have said, that degree/ formal education does not go hand in hand with leadership, one only has to look at the macabre political demise of Thabo Mbeki, that most intellectual of the modern African presidents who was once hailed as the personification of an African Renaissance, but his intellectuallism and dabbling into pseudoscience was pivotal in his undoing.So far from imposing what can so easily be characterised as unconstitutional elitism, I am very aware of the implication of shutting out a good segment of the population with talent but not the fortune of having gone through the formalities of a degree.Far from it I am holding CCM responsible to adhere to it's own standards.

  Karume amepataje kuwa rais bila degree wakati chama chake hakiruhusu mgombea urais asiye degree? Kuna mchezo ulitembea ku force king hapa?
   
 18. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  And this is another interesting question, mtu akipata "udokta" wa kupewa ana qualify kama ana degree I guess.

  Waondoe tu ujinga hili, kwa sababu any Tom Dick or Harry anayetaka kuwa rais anaweza kuongea na Almeida University wakampa doctorate based on life experience.

  Lakini the question remains, huyu Karume kapata u dokta wa kupewa juzi juzi hapa 90anajiandaa urais wa muungano?).Kabla hajapata udokta wa kupewa amekuwaje rais wa Zanzibar kabla ya kupata degree? Au CCM ina double standards Zanzibar vs Bara?
   
 19. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Unaposema Rais unaelewa nini maana yake ?kuna marais wa aina nyingi kwa mfano rais wa shirikisho la mpira wa vikapu N.K,ikiwa Tanganyika leo wanataka kumtowa nokauti Karume na wazanzibar wanaweza kuja na mfumo wa kuanzisha jina la wakuu wa mikowa na kuwaita Marais wa mikowa lakini mkuu wa marais hao akawa huyo JK au mwengine atakae kuwepo madarakani sasa hapo ndipo watakapozitowa hizo nyege za kinakarume na wenziwe labda hapo akili zao zita amka kwani sikio la kufa halisiki dawa
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Soo?

  Kwa hiyo kwa kuwa nimesema wikipedia is not authoratative, then i have to produce my own source..what kind of thinking is this?

  Ok, hata kama sieleweki, sioni ni wapi umuhimu wa degree unaweza kuhusiana na kuwa degree..labda unaona mafungamano, mimi nasikitika siyaoni.
  Ok, maswali ya kisisiem nadhani wanachama wapo watakujibu...
   
Loading...