Je, Rais Samia kutoa kauli ya "Mwanaume ni yule anayejiamini" ni kijembe Kwa Hayati Magufuli?

Zile sio kesi ni uhuni tuu wa washamba wasiojiamini waliopata madaraka wakaigeuza nchi kuwa nchi ya giza, namsifu President Samia kwa kufuta uleis ushenzi
Rais anayeligeuza Jeshi letu la Polisi, iwabambikie kesi raia wake wasio na hatia, Rais huyo hajiamini na ni mwoga kupita kiasi!😎
 
Acha kupoteza muda kushughulikia Marehemu na Wala hawezi kujibu chochote ni Upuuzi Mtupu. Utamu wa mashauri usikilize pande mbili siyo Upande Mmoja. Magufuli alipokutwa kwenye Power tuliona Nchi ikiendelea kwa Speed Kali baada ya kufariki Mambo yakaanza kusuasua na Wezi wakarudi kazi umeme ukaanza kukatika Upya bei za Kodi za nyumba zikapanda chakula kikapanda Hadi Michango ikarudi mashuleni,Uporaji ardhi ukarudi Tena ,Matapeli wakarudi kwa kazi,

Hao walioenda kuishi Nje ya Nchi walinunuliwa tu wajifanye Wakimbizi wa Kisiasa hawana lolote yule zito akagoma alipogundua hela yenyewe ni ndogo .Waliondoka Nchini kwakuwa walitangaziwa Pesa wakifanya hivyo hawakuwa na tishio lolote.

Halafu usipende kufananisha Manabii wa Mungu na binadamu wa kawaida kumbuka tu Mama ni wakawaida Sana katiba imemuweka pale lakini angeshindana ndani ya CCM kugombea hiyo nafasi asingeweza kupata hata kidogo na Wala asingethubutu kugombea.
Hivyo tuache kufananisha Manabii wa Mungu na binadamu wa kawaida.
 
kwa kuwa mama nae yupo humu tusubiri atakujibu
 
Vyote sawa.
 

Sijaona point yako
 
........Lema hakujiamini hata alipoambiwa atafutiwa kesi...akauliza mara mbilimbili!

Nimewaza tu.
 
Maelezo marefu ujinga mtupu
 
Mkuu unataka kuleta taharuki humu 🤣🤣🤣!!!
 
Linapokuja swala la kulinda madaraka hakuna anayejiamini.

Hata yeye alimpa za uso Ndugai ,pole pole, lukuvi na prof. Kabudi.

Kalemani nae akala buyu.

Wote hao ni woga tu.

Sisi wenyewe hapa tunaandika tu lakini tunasali yasije tukuta siku moja.
Wew jamaa kumbe huwa una akili lakini unajitoa ufahamu. Uko sahihi sana kwenye hili
 
Nyie ndiyo mnaomwita yule Ibilisi shujaa wenu
 
Wewe ni mjinga sana, yaani unamfanisha Ibilisi Jiwe na nabii????
 
Unamaansha Membe huyu huyu wa goli la dakika ya 89!!? Tena hata Lisu tu alimzidi kiushawishi sembuse kwa MAGUFULI!
Kuwa na Rais kama Jiwe itakuwa kuna kitu Tanzania kana nchi tulikosea mahala so tukapewa adhabu, so baada kutumikia adhabu Mungu akilipiga chini lile Ibilisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…