Je Putin ananza kujitanua?

Kuna silaha gani mpya tishio ambayo iran anayo pekeake zaidi zaidi za kununua kwa mrusi na marekani
Iran hata siku moja hawezi kununua silaha za USA.Anaweza kununua za Russia na sio za USA.Hata ndege za abiria USA hapendi Iran anunue.
 
Ingekuwa vigumu sana kuzizuia kwa sababu zilikuwa kwenye lile anga la kimataifa ambalo kimsingi kila mtu aweza kulitumia.Labda kama zingepita kwenye anga lake angeweza kuzizuia.
 
Putin ndiye rais pekee duniani ambae wimbo wa taifa lake ukipigwa hua mpk anatoa machozi/analia huku amesimama kishupavu.

Sisi huku tumetoa waraka kwamba ili uimbe wimbo wa taifa mpk uombe kibali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Iran anazo ndege za marekani zip zile old skuli F-14 tomcat na F-5 pamoja na Chinook alizo nunua miaka ya 1970s
Iran hata siku moja hawezi kununua silaha za USA.Anaweza kununua za Russia na sio za USA.Hata ndege za abiria USA hapendi Iran anunue.
 
And I quote “Putin has showed super-high tech weapons which actually decapitalise most of the American investments and their future investments in this strategic field. These supersonic cruise missiles which penetrate any defense say that ‘We have an arms race without participating in it,’” said Sergei Karaganov, an influential Russian political scientist and a former foreign policy advisor to the Kremlin, during an extensive interview with TRT World in early October.


Is Russia's military move in Venezuela an antidote to US supremacy?
 
Mkuu acha kuione marekani ubinafsi wa viongozi wa Venezuela ndio umewafikisha hapo kwa wange fata masharti wange pungiwa nn wenzao warabu wanakula bata
Una maanisha nini unavyoandika ubinafsi wa viongozi wa Venezuela?
 
Hii ya kuchukua vitega uchumi kwa nchi anazozidai ni propaganda za nchi za magharibi kumharibia mchina
 
Usichokijua ni kuwa hta hyo simu unayotumia bila uwepo wa mtu mweusi na ardhi yake isingekuwepo!

Huwa nashangazwa na watu dzain hii wanaotetea wauaji na madhulumati wa kiwango km cha marekani
 
Kuna mazuzu humu hayajielewi kutwa kuitetea marekani licha ya uharibifu mkubwa wanaofanya kwa dunia
 
Mojawapo ni tanzania, baada ya kuwauzia migodi makampuni ya kimarekani kwa bei ya kutupa huku tukipata mrabaha wa 4% wenyewe wakipata 96%
Ntajie nchi tatu ambazo zimenyonywa na U.S zime baki maskin wa kutupwa
 
China hawajauacha ukomunisti. Walichofanya ni kuupdate kwa kuchanganya kidogo na ubepari

Tht why njia zote kuu za uchumi wa china bado zipo mikononi mwa serikali
 
Ingekuwa vigumu sana kuzizuia kwa sababu zilikuwa kwenye lile anga la kimataifa ambalo kimsingi kila mtu aweza kulitumia.Labda kama zingepita kwenye anga lake angeweza kuzizuia.
mbona norway walizifatilia saana
 
Hawa jamaa ni tatizo la dunia nzima

Kila sehemu wanayotia mguu lazima wasababishe mauaji na uharibifu wa hali ya juu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…