Je, Prof.Assad anaweza kushtakiwa?

Je, Prof.Assad anaweza kushtakiwa?

Mkuu akitoa ombi huwa ni Amri! Amesema kuna uchafu kwenye Ofisi ya CAG! Na pengine kuthibitisha uchafu huo akamuondoa Prof.Assad kwa kisingizio cha kustaafu( nimeita kisingizio kwa sababu, lugha iliyotumika haikua ya MTU anayestaafu Bali aliyekuwa terminated).

Rais ameonyesha mfano wa kuondoa "uchafu" kwenye ofisi ya CAG! Then kitakachofuata baada ya "uchafu" Kuondoshwa ni nini? Kuandaa hati ya mashtaka?

Je, Prof Assad ni "uchafu"? Je, watendaji watakaa kimya hawatatii maagizo ya kwenda kumalizia kuondoa " uchafu"? Na kama hakuna "uchafu" Prof anaweza kudai haki ya kuwa na ofisi yenye "uchafu"??

Je, wanaweza kuwafungulia mashtaka hao " wachafu" wengine kisha wakamuacha kumfungulia mashtaka "mchafu" mkubwa ambaye kiongozi wa nchi ameonyesha njia tayari?

Alamsiki....
Ungenukuu basi aliyosema mkuu wakat wa termination wengine siku hizi tuko mbali sana na media
 
Kauli zako sijapenda kabisa ndg yangu usiwabeze watu wa namna hii kabisa, nani kakuambia kuwa mali zote walizonazo polisi ni za laana, hivi kwa nn watanzania tulio wengi kwa nn hatuwapendi polisi ndo kusema katika ukoo wenu hamna hata polisi mmoja, ifikie wakati tubadilike bhana, nina ushahidi wa polisi wengi wenye maisha mazuri kukuzidi ww hata mara kumi pia wanaweza kukuajiri katika biashara zao, hii ni kutokana na jinsi wanavyojishughukisha hadi kufikia malengo yao, hacha kubeza watu
Chunguza maisha ya polisi wote Tanzania hakuna hata jambo moja atafanikiwa ,akanunua gari itaanguka kila siku,akijenga nyumba kila siku bundi,fisi,yaani hawana baraka hata moja,atakaye jaribu kumfunga kumnyanyasa huyu mfia DINI,a.k.a Musa Assad maisha yake yatakuwa kama ya mbwa aliyezaa.
 
Yametia??.....
Mkuu akitoa ombi huwa ni Amri! Amesema kuna uchafu kwenye Ofisi ya CAG! Na pengine kuthibitisha uchafu huo akamuondoa Prof.Assad kwa kisingizio cha kustaafu( nimeita kisingizio kwa sababu, lugha iliyotumika haikua ya MTU anayestaafu Bali aliyekuwa terminated).

Rais ameonyesha mfano wa kuondoa "uchafu" kwenye ofisi ya CAG! Then kitakachofuata baada ya "uchafu" Kuondoshwa ni nini? Kuandaa hati ya mashtaka?

Je, Prof Assad ni "uchafu"? Je, watendaji watakaa kimya hawatatii maagizo ya kwenda kumalizia kuondoa " uchafu"? Na kama hakuna "uchafu" Prof anaweza kudai haki ya kuwa na ofisi yenye "uchafu"??

Je, wanaweza kuwafungulia mashtaka hao " wachafu" wengine kisha wakamuacha kumfungulia mashtaka "mchafu" mkubwa ambaye kiongozi wa nchi ameonyesha njia tayari?

Alamsiki....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sio ramli mkuu.
Ngoja tuone.
Mungu amlinde wasimdhuru. Maana unaweza kukuta kama yule jamaa wa wizara ya fedha likarudi jina tu baada ya kusemekana alijinyonga mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom