Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,813
Wengi wanakuwa wezi majambazi, mateja, vichaa kabisa, maisha yanayopotezwa, jela zetu, ubakaji
Wengi wanakuwa wezi majambazi, mateja, vichaa kabisa, maisha yanayopotezwa, jela zetu, ubakaji
Wape heshima yao madereva wa malori na walimu wa vijijini mkuu kuwasahau sio poa hutendei haki kabisaaUnajua binadamu wote wana matatizo ya control vilevi vyote.
Cocaine,heroine,bangi,mirungi,pombe inatumiwa na wengi waliofikiri wanauwezo wa kuicontrol, wengi tu inawacontrol. Wanamuziki, wasanii,Marais,Actors, lectures.
Sijakuelewa mkuuWamaua wangapi?
Sijakuelewa mkuu
Kama wewe ni dereva nitaongea na wewe lakini kama ni msoma takwimu siwezi.Ajali ngapi kila mwaka za kizembe, zinazozuilika?
Yawezekana hajawahi kutumia mkuu.Ndiyo nipo sehemu natumia ili nimpe jibu.Kwani mdau unaemsaidia kutafuta jibu, hajawahi kuonja?
Hapo kwenye kujichetua sasa wanafanyaga kusudi sema pombe ni kutoa aibu tuSiku zote,mara zote,unywaji wa kilevi ulipitiliza sio mzuri,sababu kilevi kina impair judgement and reasoning.Na wakati mwingine kabisa ni kweli mtu hupoteza kumbukumbu,ndio maana watu wengi huibiwa kirahisi kwa vile huwa wanasahau wanapoweka vitu vyao baada ya kulewa chakari.
Ila wengine pia hutumia mwanya huo kujichetua ili watu wampe excuse.
Ukinywa nyingi inapoteza kumbukumbu, lakini bado sio sababu ya kufanya Mambo ya ajabu.Jaman habarini na poleni na fukuto msaada jamani eti mtu akikufanyia jambo akiwa kalewa ina maana pombe zikimuisha hawezi kumbuka kitu ambacho alikikifanya akiwa kalewa?
Maana kuna ndugu yangu huyo kuna kitu kakifanya akiwa kanywa ucku ila sidhani kama alilewa kivileee na siku ya kesho yake kuulizwa kakana katu katu kuwa hajui chochote kuhusu hilo jambo ndio nauliza je inawezekana kweli kasahau au ndio kujinasua tena?
Unaijua konyagi?? Ndio inatabia ya kufuta memory..ila inategemea akili ya mtu na mtu,Jaman habarini na poleni na fukuto msaada jamani eti mtu akikufanyia jambo akiwa kalewa ina maana pombe zikimuisha hawezi kumbuka kitu ambacho alikikifanya akiwa kalewa?
Maana kuna ndugu yangu huyo kuna kitu kakifanya akiwa kanywa ucku ila sidhani kama alilewa kivileee na siku ya kesho yake kuulizwa kakana katu katu kuwa hajui chochote kuhusu hilo jambo ndio nauliza je inawezekana kweli kasahau au ndio kujinasua tena?
[emoji1787]Ukinywa nyingi inapoteza kumbukumbu, lakini bado sio sababu ya kufanya Mambo ya ajabu.
Kufanya Mambo ya ajabu ukiwa umekunywa pombe iwe kidogo au nyingi inasababishwa na mtu na sio pombe maana yake pombe haimtaki analazimisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo kuna ndugu yangu alilewa, aliporudi nyumbani akanikuta sebuleni,akafunga mlango tukaongea jambo fulani asubuhi tukaonana namkumbusha wala hakumbuki kama tulionana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jaman habarini na poleni na fukuto msaada jamani eti mtu akikufanyia jambo akiwa kalewa ina maana pombe zikimuisha hawezi kumbuka kitu ambacho alikikifanya akiwa kalewa?
Maana kuna ndugu yangu huyo kuna kitu kakifanya akiwa kanywa ucku ila sidhani kama alilewa kivileee na siku ya kesho yake kuulizwa kakana katu katu kuwa hajui chochote kuhusu hilo jambo ndio nauliza je inawezekana kweli kasahau au ndio kujinasua tena?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama kweli hawanaga wanasahau mzabe kibao akiwa amelewa uone kama kesho hajakumbukaNdiyo kuna ndugu yangu alilewa, aliporudi nyumbani akanikuta sebuleni,akafunga mlango tukaongea jambo fulani asubuhi tukaonana namkumbusha wala hakumbuki kama tulionana [emoji23] [emoji23] [emoji23]