Je, pombe humfanya mtu apoteze kumbukumbu?

babyfancy

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
2,176
Reaction score
6,188
Jaman habarini na poleni na fukuto msaada jamani eti mtu akikufanyia jambo akiwa kalewa ina maana pombe zikimuisha hawezi kumbuka kitu ambacho alikikifanya akiwa kalewa?

Maana kuna ndugu yangu huyo kuna kitu kakifanya akiwa kanywa ucku ila sidhani kama alilewa kivileee na siku ya kesho yake kuulizwa kakana katu katu kuwa hajui chochote kuhusu hilo jambo ndio nauliza je inawezekana kweli kasahau au ndio kujinasua tena?
 
😂😂😂😂😂Nafuatilia nilete jibu mkuu.
 
Nachojua jambo lolote la kilevi linamalizwa na ulevi ata kama mligombana kwenye pombe mtasettle kwenye pombe ndio maisha yanaenda vzuri.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Alitumia pombe kukamilisha kile anawaza(ga) kufanya

Je ni mara moja kufanya jambo la ajabu ama ni kila alewapo
Hilo ndio neno SASA kwahiyo ilikua ni dhamira yake ila pombe ni kisingizio tu
 
Nachojua jambo lolote la kilevi linamalizwa na ulevi ata kama mligombana kwenye pombe mtasettle kwenye pombe ndio maisha yanaenda vzuri.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mimi situmii pombe na sikua hata sehem za pombe ila tu akanikuta mahari nimetulia zangu
 
Back
Top Bottom