Je, pombe humfanya mtu apoteze kumbukumbu?

Je, pombe humfanya mtu apoteze kumbukumbu?

Pia
Pombe siku zote humfanya MTU aongee ukweli wake wote aliouficha moyoni, ndo maana huwa tunasema aliyelewa anakuwa temporary insane, kwahyo kama aliongea kitu basi alimaanisha..

Pia anaweza kuongea upuuzi, sababu he is temporary insane (kichaa kwa muda) he can't control what come out of his mouth /brain.
 
Pole sana kwa uzoefu wangu kama mlevi bingwa huwa tunakumbuka kila kitu.

Wachache wako kama wewe, wengi watajiabisha na ku-regret next day.

Inaweza pia kukuweka kwenye koma kukùua bila kuamka.

Unajua muhimu sana kujua pombe inafanya nini kwenye ubongo wako, mwili wako, akili zako, mwonekano wako.
 
Ila kwa walevi vichwa panzi don't try at home or any where🤔

Chakula kizuri muhimu kabla kunywa, halafu sio vinchwa panzi tu, mwisho wa siku mwili hautosheki na kiasi unachokunya kukupa ili same high.

Wengi tu, watu makini tumewasoma na kuwaona matendo yao wakilewa.
 
Kuna dada ananizoea zoea huku Manzesenikumuuliza tulikutana wapi anadai tulinanihii nae chap chap siku moja nikiwa nimelewa
Sikumbuki kabisa
Pombe hasa hizi nyeupe za kupima zinafuta kumbukumbu yote
Hahaha..!!! Aice hizi ngumu kumeza au masera wanaziita machozi ya simba lazma tu uwe umemsahau na uzuri wake ukiwa na jero tu tayari unakuwa higher
 
Hizo ni habari za k vanga au nyagi ndobhuwa unasahaulisha.

Ila pia unaweza fanya kitu ukasingizia pombe kukwepa fedheha.
 
Chakula kizuri muhimu kabla kunywa, halafu sio vinchwa panzi tu, mwisho wa siku mwili hautosheki na kiasi unachokunya kukupa ili same high.

Wengi tu, watu makini tumewasoma na kuwaona matendo yao wakilewa.
Kunywa ni burudani na sii karaha, anayeshindwa kujiongoza Hadi inakuwa karaha yafaa aachane na hiyo kitu, kwa usalama wake, wa wengine na kwa ajili ya afya yake.
 
Kwa afya poa, ila jisililizie pia Kwa udogo huo ili ujijue

Unajua binadamu wote wana matatizo ya control vilevi vyote.

Cocaine,heroine,bangi,mirungi,pombe inatumiwa na wengi waliofikiri wanauwezo wa kuicontrol, wengi tu inawacontrol. Wanamuziki, wasanii,Marais,Actors, lectures.
 
Kwa sababu za mazingira ,kampani, mtu mwenyewe na nidhamu yake, majukumu aliyo kuwa nayo kwake, binafsi, kwa jamii yake na familia yake.
 
Kunywa ni burudani na sii karaha, anayeshindwa kujiongoza Hadi inakuwa karaha yafaa aachane na hiyo kitu, kwa usalama wake, wa wengine na kwa ajili ya afya yake.

Ukiangalia jamii na madhara kwa jamii inaonekana wengi wanashindwa kujiongoza, wanaongozwa na pombe.

Fikiria kama mtoa mada anavyosema unatukana ndugu zako, familia yako, watu wako karibu,waajiri wako, ajali nyingi magari (fikiria bodaboda) afya yako, kodi (serikali kukuhudumia).

Wengi wanakuwa wezi majambazi, mateja, vichaa kabisa, maisha yanapotea ( maisha muhimu ya watu), jela zetu , ubakaji

Wangapi wanaweza ku-icontrol?
 
Ukiangalia jamii na madhara kwa jamii inaonekana wengi wanashindwa kujiongoza, wanaongozwa na pombe.

Fikiria kama mtoa mada anavyosema unatukana ndugu zako, familia yako, watu wako karibu,waajiri wako, ajali nyingi magari (fikiria bodaboda) afya yako, kodi (serikali kukuhudumia).

Wengi wanakuwa wezi majambazi, mateja, vichaa

Wangapi wanaweza ku-icontrol?
Ukweli ni kuwa kunywa kunapunguza uwezo wa kukumbuka wakati kilevi kipo Bado kichwani.
 
Siku zote,mara zote,unywaji wa kilevi ulipitiliza sio mzuri,sababu kilevi kina impair judgement and reasoning.Na wakati mwingine kabisa ni kweli mtu hupoteza kumbukumbu,ndio maana watu wengi huibiwa kirahisi kwa vile huwa wanasahau wanapoweka vitu vyao baada ya kulewa chakari.
Ila wengine pia hutumia mwanya huo kujichetua ili watu wampe excuse.
 
Back
Top Bottom