Je, nyani jike au sokwe jike wanapata hedhi?

IMG_20210926_001356_476.JPG
 
Hawapati . Mimi nimefuga nyani miaka minne nimeishi nao. Najua mtashangaa sana nimeishi na nyani !
 
Labda nianze kuweka sawa kwenye swali lako, unapoongelea hedhi ni general term tukirudi kisayansi zaidi kuna vitu viwili vyote vikiwa na maana ya hedhi lakini ni mechanism tofauti, Menstrual Cycle na Menstrual Flow (Period), kwa maana inaanza kutangulia Menstrual Cycle (mzunguko wa hedhi) na kufuatia Menstrual flow (kutokwa na damu ya hedhi kupitia tundu la kuzalishia).

Tukishaelewana hapo then tunaendelea.

Ili mnyama yoyote (akiwemo binadamu) aweze kutunga mimba (Conceive) lazima awe na Menstrual Cycle, lakini si lazima awe na Menstrual flow.

Hivyo basi kuna wanyama wachache ikiwemo maarufu kama binadam wana uwezo wa ku'undergo mechanism zote mbili kwa mpangilio nilioueleza hapo awali mfano Kuna only very closely related sokwe, aina kadhaa ya popo na aina nyingine chache ya wanyama sijui majina yao kwa kiswahili,

Wanyama wengine wote waliobakiwa wana mfumo mmoja tu wa Menstrual circle, ikifika kipindi cha menstrual flow badala ya tissues zilizoambata na damu kutoka nje, wenyewe kwenye uterus (mfuko wa uzazi) zao, wanauwezo wa kunyonya hizo tissue pamoja na damu kwa ndani (in vivo) hivyo haziwezi kuonekana kwa nje kadri ya matarajio ya wengi!

Labda na kwa namna moja au nyingi umepata kauelewe mambo yanavyoenda!

So kwa kifupi kwenye Swali lako only few species ya nyani na sokwe wanapata hedhi ila sio wote inategemea na physiology yao ya mwili na Evolution (natural selection).

Asante!
 
Naomba nifahamishwe Kama Kuna anayejua jibu la swali langu maana nyani jike au sokwe wapo Kama sisi.
Dogo mbona hutimizi ahadi yako ya kuniua kwa kuwaibia tv mwaka 1988? Niue bana ni haki yangu wewe kuniua uliahidi mwenyewe utaniua kwa kuwaibia tv chogo ukiwasha hadi uzungushe switch 360% na inachukua dakika moja kudiply.

Niue sasa dogo
IMG_20210913_200339.jpg
 
Dogo mbona hutimizi ahadi yako ya kuniua kwa kuwaibia tv mwaka 1988? UNAKERA bana ni haki yangu wewe kuniua uliahidi mwenyewe utaniua kwa kuwaibia tv chogo ukiwasha hadi uzungushe switch 360% na inachukua dakika moja kudiply.

Niue sasa dogo
View attachment 1953691
From that ID to mbususu enthusiast you are playing it a lot
 
Naomba nifahamishwe Kama Kuna anayejua jibu la swali langu maana nyani jike au sokwe wapo Kama sisi.
Overt menstruation (where there is bleeding from the uterus through the vagina) is found primarily in humans and close relatives such as chimpanzees. It is common in simians (Old World monkeys, and apes), but completely lacking in strepsirrhine primates and possibly weakly present in tarsiers
 
Wanapata ila inakuwa vigumu kuonekana kwa sababu yai likikomaa dume anakuwa alishanusa harufu na kulirutubisha,na hatimaye kutokumwagika.
Hapa ndipo wengi wanapofeli sasa (ikiwemo na wewe)...

Kinachomwagika (damu ya hedhi) hutoka katika kuta za mji wa mimba na wala siyo yai la uzazi!

Iko hivi... yai linapokomaa, hutumwa taarifa katika mji wa mimba na hapo kuta zile zitajiandaa kupokea yai hilo (kujiandaa kwake ni pamoja na kuvimba na kulainika kwa kuta hizo ili yai likija liweze kujishikiza vizuri)

Ikitokea yai hilo likarutubishwa na mbegu ya uzazi ya mwanaume basi yai hilo huanza safari kutoka huko kwenye mirija ya falopia kwenda kwenye mji wa mimba (uterasi) na kujishikiza na kuendelea...mpaka mtoto kuzaliwa

Lakini ikiwa hakuna urutubishaji uliofanyika basi kuta zile zitaanza kujirudisha katika hali yake ya kawaida na ndipo itatokea hali hiyo ya kutoa damu hiyo ambayo tunaita damu ya hedhi

Kuhusu yale mayai yasiyorutubishwa yanakwenda wapi hata mimi sijui lakini si kweli kwamba mayai yale ndiyo damu ya hedhi. Ingekuwa ni hivyo kwamba mayai ndo ile damu basi kwa waislamu wangechagua moja kati ya; eidha damu ya hedhi isingekuwa najisi au binadamu angekuwa najisi

Ila kwa kuangalia mechanism nyingine za kimwili wala haishangazi au kushtua kusikia mayai yale yanajipoteza ndani kwa ndani maana hata ukiangalia kujirudisha kwa zile kuta kuna maajabu kidogo

Kumradhi... turudi kwenye mada sasa

Binafsi nilisikia (fununu) kuwa nguruwe anapata hedhi lakini kwa nyani sijawahi kusikia ingawa hata kwa huyo nguruwe sidhani kama ni kweli maana mechanism ile ni mahsusi kwa binadamu tu nijuavyo!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom