Je, nyani jike au sokwe jike wanapata hedhi?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,378
30,829
Naomba nifahamishwe Kama Kuna anayejua jibu la swali langu maana nyani jike au sokwe wapo Kama sisi.
 
Naomba nifahamishwe Kama Kuna anayejua jibu la swali langu maana nyani jike au sokwe wapo Kama sisi.
Kuliongezea awali lako, mm najiulizaga tofauti ya kimfumo ipoje kati ya binadamu na mammalia wenzake maana hata wanyama kama ngombe, mbwa ,paka n.k hawahitaji Pedi, !

Kisayansi physiology itatuletea majawabu lazima lakini kiroho hili linadhihirisha Ile laana ya kuzaa kwa uchungu iliyopiga eneo Hilo la binadamu wa kike kuwa wanyama wakike haikuwahusu!
 
Nilifika Gombe National Park Hao Jamaa Wengi Wanakuja Karibu. Acha Jobo Aje Ajibu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom