Je, nyani jike au sokwe jike wanapata hedhi?

Jamii ya sokwe hupata periods .... Ingawa wao huchukua muda mrefu zaidi.....
 
Hapa ndipo wengi wanapofeli sasa (ikiwemo na wewe)...

Kinachomwagika (damu ya hedhi) hutoka katika kuta za mji wa mimba na wala siyo yai la uzazi!

Iko hivi... yai linapokomaa, hutumwa taarifa katika mji wa mimba na hapo kuta zile zitajiandaa kupokea yai hilo (kujiandaa kwake ni pamoja na kuvimba na kulainika kwa kuta hizo ili yai likija liweze kujishikiza vizuri)

Ikitokea yai hilo likarutubishwa na mbegu ya uzazi ya mwanaume basi yai hilo huanza safari kutoka huko kwenye mirija ya falopia kwenda kwenye mji wa mimba (uterasi) na kujishikiza na kuendelea...mpaka mtoto kuzaliwa

Lakini ikiwa hakuna urutubishaji uliofanyika basi kuta zile zitaanza kujirudisha katika hali yake ya kawaida na ndipo itatokea hali hiyo ya kutoa damu hiyo ambayo tunaita damu ya hedhi

Kuhusu yale mayai yasiyorutubishwa yanakwenda wapi hata mimi sijui lakini si kweli kwamba mayai yale ndiyo damu ya hedhi. Ingekuwa ni hivyo kwamba mayai ndo ile damu basi kwa waislamu wangechagua moja kati ya; eidha damu ya hedhi isingekuwa najisi au binadamu angekuwa najisi

Ila kwa kuangalia mechanism nyingine za kimwili wala haishangazi au kushtua kusikia mayai yale yanajipoteza ndani kwa ndani maana hata ukiangalia kujirudisha kwa zile kuta kuna maajabu kidogo

Kumradhi... turudi kwenye mada sasa

Binafsi nilisikia (fununu) kuwa nguruwe anapata hedhi lakini kwa nyani sijawahi kusikia ingawa hata kwa huyo nguruwe sidhani kama ni kweli maana mechanism ile ni mahsusi kwa binadamu tu nijuavyo!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kwa binadamu akiwa kwenye hitaji la mimba anaweza kujizuia ndio maana tunaona hedhi,ila kwa wanyama akiwa kwenye hitaji la mimba ni ngumu kujizuia kwa sababu madume yatakuwa yanamfuata kwa ajili ya kurutubisha, na hedhi isionekane. Sijafanya utafiti ila nahisi ndio hivyo, kwa kuanzia kwenye hii pointi yangu, nadhani tuingie field ili tuweze kupata majibu.
 
Labda nianze kuweka sawa kwenye swali lako, unapoongelea hedhi ni general term tukirudi kisayansi zaidi kuna vitu viwili vyote vikiwa na maana ya hedhi lakini ni mechanism tofauti, Menstrual Cycle na Menstrual Flow (Period), kwa maana inaanza kutangulia Menstrual Cycle (mzunguko wa hedhi) na kufuatia Menstrual flow (kutokwa na damu ya hedhi kupitia tundu la kuzalishia).

Tukishaelewana hapo then tunaendelea.

Ili mnyama yoyote (akiwemo binadamu) aweze kutunga mimba (Conceive) lazima awe na Menstrual Cycle, lakini si lazima awe na Menstrual flow.

Hivyo basi kuna wanyama wachache ikiwemo maarufu kama binadam wana uwezo wa ku'undergo mechanism zote mbili kwa mpangilio nilioueleza hapo awali mfano Kuna only very closely related sokwe, aina kadhaa ya popo na aina nyingine chache ya wanyama sijui majina yao kwa kiswahili,

Wanyama wengine wote waliobakiwa wana mfumo mmoja tu wa Menstrual circle, ikifika kipindi cha menstrual flow badala ya tissues zilizoambata na damu kutoka nje, wenyewe kwenye uterus (mfuko wa uzazi) zao, wanauwezo wa kunyonya hizo tissue pamoja na damu kwa ndani (in vivo) hivyo haziwezi kuonekana kwa nje kadri ya matarajio ya wengi!

Labda na kwa namna moja au nyingi umepata kauelewe mambo yanavyoenda!

So kwa kifupi kwenye Swali lako only few species ya nyani na sokwe wanapata hedhi ila sio wote inategemea na physiology yao ya mwili na Evolution (natural selection).

Asante!
Uko vizuri. JF idumu
 
Kwenye huu uzi kuna mkanganyiko ktk mtiririko wa coment
Uyo anayetaka kuuwawa anaakili timamu
 
Kuliongezea awali lako, mm najiulizaga tofauti ya kimfumo ipoje kati ya binadamu na mammalia wenzake maana hata wanyama kama ngombe, mbwa ,paka n.k hawahitaji Pedi, !

Kisayansi physiology itatuletea majawabu lazima lakini kiroho hili linadhihirisha Ile laana ya kuzaa kwa uchungu iliyopiga eneo Hilo la binadamu wa kike kuwa wanyama wakike haikuwahusu!

Wanyama uliowataja wanapata?
 
Labda nianze kuweka sawa kwenye swali lako, unapoongelea hedhi ni general term tukirudi kisayansi zaidi kuna vitu viwili vyote vikiwa na maana ya hedhi lakini ni mechanism tofauti, Menstrual Cycle na Menstrual Flow (Period), kwa maana inaanza kutangulia Menstrual Cycle (mzunguko wa hedhi) na kufuatia Menstrual flow (kutokwa na damu ya hedhi kupitia tundu la kuzalishia).

Tukishaelewana hapo then tunaendelea.

Ili mnyama yoyote (akiwemo binadamu) aweze kutunga mimba (Conceive) lazima awe na Menstrual Cycle, lakini si lazima awe na Menstrual flow.

Hivyo basi kuna wanyama wachache ikiwemo maarufu kama binadam wana uwezo wa ku'undergo mechanism zote mbili kwa mpangilio nilioueleza hapo awali mfano Kuna only very closely related sokwe, aina kadhaa ya popo na aina nyingine chache ya wanyama sijui majina yao kwa kiswahili,

Wanyama wengine wote waliobakiwa wana mfumo mmoja tu wa Menstrual circle, ikifika kipindi cha menstrual flow badala ya tissues zilizoambata na damu kutoka nje, wenyewe kwenye uterus (mfuko wa uzazi) zao, wanauwezo wa kunyonya hizo tissue pamoja na damu kwa ndani (in vivo) hivyo haziwezi kuonekana kwa nje kadri ya matarajio ya wengi!

Labda na kwa namna moja au nyingi umepata kauelewe mambo yanavyoenda!

So kwa kifupi kwenye Swali lako only few species ya nyani na sokwe wanapata hedhi ila sio wote inategemea na physiology yao ya mwili na Evolution (natural selection).

Asante!
Umeeleweka sana mkuu
 
Mkuu umefunga Uzi kwa upande wangu.
 
Kwa hiyo ulitaka uwatafutie wahisani wa damu salama wawagawie pedi huko maporini kama wanapata hedhi?
 
Back
Top Bottom