Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,322
- 5,946
Nimekua na maswali yasiyo na majibu.
Kwenye Sayansi tunaambiwa binadamu wametokana na evolution process kwamba ni zao na masokwe sijui nyani.
Kwenye imani za kidini tunaambiwa Mungu aliumba adam na Hawa ndio mwanzo.
swali langu
1. Kwenye sayansi
Je hao nyani au sokwe waliofanya evolution na kuwa binadam kamili walitokea wapi, nani aliwatengeneza au kuwaumba cahnzo chao ni kipi haswa. Maana kila kitu kina chanzo uki trace back chanzo chako utawakuta babu zako zako na grand groundfather na kurudi nyuma huko sasa hawa wa mwanzo wanatokea wapi au ni umbali wa historia kiasi cha kwamba jibu linakosenakaa?
2. Kwenye Imani Bible na quran
Je kabla ya kuumbwa Adam na Eva kulikua na nini?
Mungu alikua anafanya nini?
Nani alimuumba Mungu?
Aliyemuumba Mungu ni nani?
Mwanzo ni upi?
Mawazo yangu;
Inawezekana tunakosa taarifa za awali kwasababu ya ufinyu wa taarifa za nyuma na upungufu au ukosefu wa teknolojia wa kipindi hicho.
Naamini hivi kama leo kuna watu wanaamini watu wanafufuliwa basi namimi naweza kuaminisha watu wapya au vizazi vipya kwamba watu wanatengenezwa maabara kwa uwezo wa biological tecnologies na watu hawa wakaamini pasipo shaka.
Je majibu tunayopewa kwa sasa yanajitosheleza kiasi gani?
Yana ukweli kiasi gani?
Ikiwa unaweza kuaminisha kizazi kimoja kw ataarifa fulani na hizo taarifa zikawa passed kwa vizazi vijavyo na kuaminika pasipo na shaka. (kama ilivyo taboo mbalimbali zisizo na uhalisia au ukweli wowote katika maisha ya kawaida)
Mimi nadhani kuna ukosefu wa taarifa zote.
Na hizi taarifa zimeanza kutunzwa kwa umakini katika kizazi au generation fulani.
Nini maoni yako?