Je, nina gundu au nimerogwa? Kila kazi nayoomba siitwi

Kukudume2013

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
1,659
730
Kila nafasi ya ajira inayotangazwa mm naomba, lakini hawaniiti hata kwenye interview. Je, nina Gundu au nimerogwa au Mungu hataki niende kwenye mishahara minono?
 
Miaka mingapi imepita hujawahi itwa kwenye interview?
Unayo kazi kwa sasa?
Angalau uitwe basi kidogo unakuwa na tamaa ipo siku utapata maksi nyingi na kuajiriwa lkn mm hata kuitwa siitwi kwenye usahili
 
Miaka mingapi imepita hujawahi itwa kwenye interview?
Unayo kazi kwa sasa?
Kwa sasa ni mwaka wa 10 ninayo ajira lkn kipato hakizidi hata mili9ni moja.hivyo natafuta angalau kamshahara kafikie 3m na kuendelea.
 
Nimekuquote mara tatu ili kuonesha msisitizo...

Naomba usinisahau katika hili zoezi. Nina vibastola bandia vya kutosha na masks kibao za sura ya Osama bin Laden...
Sikusahau mkuu kuna watu inabidi tukawawekee barrier tuchukue chetu haiwezekani tunapigika tu bila 7bu wakati nguvu tunazo...
Jamani princess ariana heist ndio nn .natamani kujua kama nayo ni aina ya ajira ili tuwe pamoja
Aah ni tukio la kimkakati linalofanywa na watu waliochoka kutafuta ajira wakaamua kujitafutia kwa njia ya haraka sana.. ila You must Abandon all hope,ye who enter here.”
 
Back
Top Bottom