Hivi kazi walizotoa TRA mwezi 6 watu washaitwa kwenye interview au bado?

Feb 7, 2012
72
67
Mnamo mwezi june mwaka huu mamlaka ya ukusanyaji mapato Tanzania ilitoa nafasi za ajira.

Je, tayari watu wameshaitwa kwenye interview au bado, mwenye uelewa jibu ili kuwasaidia wote ambao hawaelewi na wasiojua kabisa.
 
kuna mdau alisema ni August na ndio hii ikifika sept. ujue manyoya tayari 🥲
 
Back
Top Bottom