Hivi kwanini Serikali isiajiri wahitimu wote kama wanavyoajiri walimu na kada zingine za afya bila interview?

lee jack

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
922
1,436
Jaman Nina wazo naomba nisikilizwe hivi ni Kwa Nini serikali isiajiri wahitimu wa vyuo vikuu kama wanavyoajiri waalimu na baadhi ya kada za afya bila kuwafanyia interview?
Namaanisha kwamba Kila mtu anaweza kufanya kazi Fulani akielekezwa au kufanyiwa training
Basi Kwa Nini serikali isifanye mchakato wa kuwapatia wahitimu wa fani tofauti tofauti training baada ya pale wakae kwenye database na nafasi zikitoka wapangiwe maeneo Yao ya kazi?
Swala la interview libaki kwenye taasisi binafsi tuu
Mimi naona swala la interview halihusiani na kazi kabisa hasa za serikalini
Mfano kama mbunge anatakiwa awe anajua kusoma na kuandika inakuaje muhitimu wa degree ashindwe majukumu ambayo ni yaleyale ya Kila siku Kwa kitengo atakacho hudumu Kwa muda wote atakaokua kazini
Nawasilisha
 
Graduates wengi ya vyuo vikuu are half baked, hawawezi chochote hata vile walivyo somea kwahiyo bila kuwa scrutinise kwa interview serikali inta ajili makapi matupu.
 
Si wanafanyiwa training
 
Back
Top Bottom