Je nimtafune au nimuache tu

Je nimtafune au nimuache tu

Najua unauliza tu kuhalalisha kama ulicho kifanya ni sahihi ama sioo

#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
 
...mtoto wa mama mwenye nyumba
....anasoma advance form 6
....dada yake ndo hvyo tena

Daaah,nakuonea huruma ndugu,jitahidi uwe Kama nabii yusuph tuu
 
Mtoto wa mama mwenye Nyumba Yupo likizo kipindi hiki cha corona,
Kiufupi sikuwahi kumuona kabla kwa sababu kipindi nilipoamia hapa alikua Zake Anasoma huko Arusha,

Wiki mbili tatu hizi niliamua kujiweka karantini ili niangalie upepo wa Corona unavyokwenda ,
Sasa tangu afike hapa kwa Mama yake naona Shobo zimezidi,
Mtoto ni pisi kweli kutwa kushinda na Kanga moja tu ,
Nikitoka nje mtoto yumo, sometime akiona bi mdashi wake hayupo anakuja gheto kuzuga kucheza na Desktop yangu eti anataka nimfundishe kutumia Computer.

Majaribu yamekuwa ni mengi nimeshaanza kuona hii covid effect ya watoto wa shule kwa huyu dogo,

Cha kumshukuru Mungu ni kwamba Mtoto mwenyewe yuko Advance form 6,Anasubiri kesho kutwa tu hapo apige pepa,

Je Nimtafune au Nimaintain tu .

Nb.
Ukitoa ushauri usisahau kwamba Kuna dada yake wa damu na huyu dogo nimeshamtafuna tayari.


Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeniangusha sana we mchakata viazi

God save us
 
Back
Top Bottom