Je, Nikimrudia msichana wangu nitadharaulika?

Je, Nikimrudia msichana wangu nitadharaulika?

Dah miaka 8 dem mmoja! Tena hujampa hata mkataba! Halafu ulikuwa inapiga kavu! Mpe hata kifuta jasho kabla hujamuacha angalau hata elfu 30 kwa siku kwa hiyo miaka 8
 
Hahaha uchumba sugu. Muache dada wa watu ajiendee zake. Kakupenda miaka 8. Kajionea kuolewa nehii, why hata sipewi mshahara?
 
Mangi kila ki2 unapata na maisha tambarare ndoa ni karatasi 2 istoshe unaweza ukawa umekopwa na unaishi kwa furaha,yule mwenye cheti full sarakasi hajui ya kesho

ni kweli aisee ila sasa maswala ya kuwekana miaka kumi upo tu nabanjuka tuu labda kama kuna something else
 
ni kweli aisee ila sasa maswala ya kuwekana miaka kumi upo tu nabanjuka tuu labda kama kuna something else

Hahahaaa mkopaji huwa mstarabu mana anamarejesho lazma ahudumie kwa sana cku akiona kuna umuhimu wa karatasi mnajongea kanisani au msikitini,ndoa nyingi za sasa full sarakasi wa2 wamekurupuana 2 kila cku vurugu
 
ndiyo maana mimi naogopa huko ndoani aisee
 
Ha ha ha lazima ajue anataka nini ? Kama hajui atumie condom .. Kuna mambo ya kuomba ushauri bana demu akianza dharau jua kapata wa kumuheshimu chapa lapa au tumia condom

apo nimekuelewa so itabidi ujikondomize ukijua huna chako lakini miss
 
Kijana ndani ya hiyo miaka 8 mmejaaliwa kupata watoto wangapi?
 
Back
Top Bottom