Hivi Mkuu .tajiri analala sakafuni tena kwenye mkeka,,halafu akwambiye hapendi kulala kitandani maisha yake yote,,utamuelewa kweli?, pesa alizonazo ni za masharti..sio bure...hakuna mwanadamu aliyekamili akasema mm sitaki mtoto maisha yake yote. atakuwa na shida mahali,,, amini mkuu..lazima atakuwa mbovu wa mwili au kifikra..mkuu mtoto ana raha yake. ,,wewe sikia tu kwa wenzio..
Wewe umeshawahi kuingia vichwani mwa watu wangapi ukachungulia mawazo yao na jinsi wanavyowaza mpaka ujiridhishe kwamba hakuna mtu asiyetaka mtoto?Hivi Mkuu .tajiri analala sakafuni tena kwenye mkeka,,halafu akwambiye hapendi kulala kitandani maisha yake yote,,utamuelewa kweli?, pesa alizonazo ni za masharti..sio bure...hakuna mwanadamu aliyekamili akasema mm sitaki mtoto maisha yake yote. atakuwa na shida mahali,,, amini mkuu..lazima atakuwa mbovu wa mwili au kifikra..mkuu mtoto ana raha yake. ,,wewe sikia tu kwa wenzio..
Ni sawasawa na mwanamke aseme hapendi kuolewa. Ni kujifariji tu sio kama hapendi kweli
Kuwa na mtoto kwnza,,,halafu utanipa marejesho....wachana na fikra za sizitaki mbichi hiziRaha ya mtoto ni ipi?
Kwa nini kuna watu wanawatelekeza watoto waliowazaa?
Kwa nini kuna wanawake wanawatupa watoto waliowazaa?
Kwa nini kuna watoto wengi wa mitaani wasioishi katika familia na ndugu wanao?
Kuwa na mtoto kwnza,,,halafu utanipa marejesho....wachana na fikra za sizitaki mbichi hizi
Kuwa na mtoto kwnza,,,halafu utanipa marejesho....wachana na fikra za sizitaki mbichi hizi
Ni sawasawa na mwanamke aseme hapendi kuolewa. Ni kujifariji tu sio kama hapendi kweli
Hujajibu swali kama ushawahi kuingia vichwani mwa watu wote ujue wanavyofikiri ili uweze kuhitimisha kwamba wote wasiotaka mtoto wana matatizo.Mkuu unaposema suala la watawa na makasisi ni tofauti sana,,,hao wameshajitolea kiroho kumtumikia MUNGU,,, hivi watawa na makasisi wanagegeda? au wanagegedwa?hapa tunazungumzia mwanamke au mwanaume ambaye ana mahusiano halafu akwambiye sihitaji mtoto kwenye maisha yngu,,, hicho kitu hakipo mkuu kwa mtu mwenye utimamu wa mwili ? Pia tumeshuhudia watawa na makasisi wangapi yakiwashinda na kurejea kwenye maisha ya mahusiano?yote hayo hicho kipengele cha mtoto ndy kigumu kwao, Pia kuhusu Japani,,usifananishe utamaduni wa watu Fulani na maisha ya watu wengine,, sasa nambie ni jamii gani hapa kwetu Tanzania inafanana na wajapani? mfano huo mji wa Kumamoto,,na kuna mji unaitwa mboro,,sasa je unaweza kuitamka hiyo miji mbele ya binti zako au wakwe zako?lakini kwa wenzetu japani kutamka Kumamoto na mboro ni maneno ya kawaida,,hivyo basi kwa utamaduni wa Tanzania kulala kwenye mkeka ni alama ya ufukara,,usifananishe na japani...kila sehemu na utamaduni wao
Hivi watu wa Jamiiforums hizi generalization mnazitoa wapi? Yaani una uhakika kabisa kila mwanamke duniani hapa anapenda kuolewa?Ni sawasawa na mwanamke aseme hapendi kuolewa. Ni kujifariji tu sio kama hapendi kweli
kuna mtu kakuuliza vipi wanaotupa watoto?Mkuu unaposema suala la watawa na makasisi ni tofauti sana,,,hao wameshajitolea kiroho kumtumikia MUNGU,,, hivi watawa na makasisi wanagegeda? au wanagegedwa?hapa tunazungumzia mwanamke au mwanaume ambaye ana mahusiano halafu akwambiye sihitaji mtoto kwenye maisha yngu,,, hicho kitu hakipo mkuu kwa mtu mwenye utimamu wa mwili ? Pia tumeshuhudia watawa na makasisi wangapi yakiwashinda na kurejea kwenye maisha ya mahusiano?yote hayo hicho kipengele cha mtoto ndy kigumu kwao, Pia kuhusu Japani,,usifananishe utamaduni wa watu Fulani na maisha ya watu wengine,, sasa nambie ni jamii gani hapa kwetu Tanzania inafanana na wajapani? mfano huo mji wa Kumamoto,,na kuna mji unaitwa mboro,,sasa je unaweza kuitamka hiyo miji mbele ya binti zako au wakwe zako?lakini kwa wenzetu japani kutamka Kumamoto na mboro ni maneno ya kawaida,,hivyo basi kwa utamaduni wa Tanzania kulala kwenye mkeka ni alama ya ufukara,,usifananishe na japani...kila sehemu na utamaduni wao
umekariri wewe taratibu za kwenu kwamba kijana akifika umri flani ni kuoa na kuzaa basiMkuu mbona povu? Au na wewe pia sizitaki mbichi hizi?
Hivi watu wa Jamiiforums hizi generalization mnazitoa wapi? Yaani una uhakika kabisa kila mwanamke duniani hapa anapenda kuolewa?
hahahahah mkuu wapo bhanaNi sawasawa na mwanamke aseme hapendi kuolewa. Ni kujifariji tu sio kama hapendi kweli
Sina uhakika.coz mapenzi ni ya watu wawili tu.akiongezeka wa tatu kutakuwa na mapenzi kweli
Hivi miaka 45 ni kijana?unataka upate mtoto lini? au unataka uzae wajukuu?kuna umri Fulani ukifika ukiongea kauli ya sitaki mtoto ni wakuogopwa kama ukoma..umekariri wewe taratibu za kwenu kwamba kijana akifika umri flani ni kuoa na kuzaa basi
ndo maana hatuendelei kabisa
Hili pia tatizo jipya.Hivi watu wa Jamiiforums hizi generalization mnazitoa wapi? Yaani una uhakika kabisa kila mwanamke duniani hapa anapenda kuolewa?
Mnachekesha kweliHili pia tatizo jipya.
Ni kahaba pekee ndy hapendi kuolewa..lakini sio kwa mwanamke kamili..kuolewa ni ndoto za kila mwanamke,,pengine tu wanachaguwa waume,hilo ndy tatizo...
Hilo ni tatizo kubwa la mwanamke wa kiafrika asiye na malezi mazuri,,anadhani akiwa na pesa basi hana shida na kuolewa.,,wala ahitaji kuwa na mwanaume permanent,,,ukumbuke kitendo cha mwanamke kuvuliwa chupi na kila aina ya mwanaume sio kitu kizuri,,wala sio heshima,,ndoa humpa mwanamke heshima...na usidhani kitendo kile mwanamke anakifurahia..Mnachekesha kweli