Je, ni salama kama ninavyodhania?

BORA MKE WA KWEKA UNGEPEWA WEWE.
Sikia kijana Huyo mwanamke usimuone mjinga, ana werevu wake akiamua kuutumia utakimbia.

Miaka tisa unataka mtoto wa watu aende wapi? Umempekua umekosa sababu unaforce sasa.
Kaka tulia na mke wako Na huyo shetani akutoke,

Watoto hawakui kwa kuongezeka miaka.
 
So far ana prove wao ndio chanzo cha matatizo kwenye mahusiano ndoa🙌🏾
Hapana, Huyu kenge mmoja anatuharibia, we si unaona ana miaka tisa na mtoto wa watu hata mahari hajamtolea. Alafu kamzalia then anataka kumuacha.
Na hawakubali hilo ni mwendo wa kutuhamishia mattizo wanawake tuonekane hatufai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…