cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 29,004 Reaction score 79,216 Jan 9, 2024 #41 Sio sahihi haswa eneo wanalofahamila au wakiwa wamevaa uniform zao.
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 40,027 Reaction score 51,173 Jan 9, 2024 #42 Umenikumbusha aisee, Kuna siku nilikua napita pale kimara mwisho mara nikaona watu wazima kabisa wanapigana ilikua aibu sana. Yaani kwa umri ule haikupasa kupigana.
Umenikumbusha aisee, Kuna siku nilikua napita pale kimara mwisho mara nikaona watu wazima kabisa wanapigana ilikua aibu sana. Yaani kwa umri ule haikupasa kupigana.