Je, ni sahihi kwa Mwanaume Kususa kula chakula alichoandaliwa? Je, ni sahihi kubembelezwa kama Mtoto mdogo?

Upuuzi tu na kukera tu hivi wababa wetu walikuwa wanasusa kama hawa wadoti com?
Wababa wetu walikuwa wanaume kweli kususa mwiko na walipekekwa jandoni Hawa wa sasa ni shida kutwa kushindana na wanawake
 
Wababa wetu walikuwa wanaume kweli kususa mwiko na walipekekwa jandoni Hawa wa sasa ni shida kutwa kushindana na wanawake
Halafu ndiyo wakwanza kuwananga wanawake, wakati wao hawajui kusimama kama baba mwenye nyumba ,wanawake tunabebeshwa misalaba ya chuma na misumari bila sababu

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom