Je, ni sahihi kumuuliza mchepuko wa mwenza wako kabla ya kufanya maamuzi?

Guess mnakutana na vichwa vibovu tu, mshukuru sana Mungu ulikutana na Mwanaume mwenye roho ya kimama.

Mkuu sikutanii, kama ningekuwa mimi kwa hayo majibu yako ni hakika nilikuwa nayanunua maisha yako kwa gharama yoyote ile na kama isingekuwa hivyo basi ningekutia kilema cha maisha , sio kwasababu eti ya yule mwanamke (wanawake wengi tu,na hata hivyo hakuwa mke) ila nitafanya hivyo kwasababu kauli zako zilikuwa ni za kudhalilisha uanaume wa wangu, ningeanzisha battle na wewe mpaka nione kama una huo uwezo uliojinadi nao.

Jifunzeni kukabiliana na vitu kwa busara, kuna watu duniani hawachezewi,ohooo.
Dah..mkuu bhanaa...sasa assume ungemsaka huyo mwana then wewe ndo ugeuzwe supu au utiwe kilema....ungefanyaje??
 
Dah..mkuu bhanaa...sasa assume ungemsaka huyo mwana then wewe ndo ugeuzwe supu au utiwe kilema....ungefanyaje??
Ni ngumu sana kwakua sina muda wa kumtafuta personal, atatafutwa na watu wa karba yake kwaajili yangu.
 
Back
Top Bottom