Muwe makini na michepuko yenu. Hawa wajichanganya kwa Wakala

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,017
Mke anatumia wakala huyo kuweka pesa kwenye akaunti ya mumewe kila siku akimaliza kufunga mahesabu then baadae akawa anakuja mwanamke mwingine huku anatumia akaunti hiyo hiyo kuweka pesa.

Mfanyakazi wa wakala wa miamala ni mdada na unaelewa wadada hawaishiwi stori na kaumbea. Akamsanua mke kuwa mbona kuna mwanamke huwa anakuja kutumia akaunti hii hii kuweka pesa.

Mke ilibidi afatalie, akamfahamu mwanamke mwenyewe hana ubia wowote au biashara na mumewe bali mme amemfungulia kabiashara, kiufupi ni mchepuko wake.

Hatua iliofata mke, mme na mchepuko wanajua wenyewe, siwezi kutunga stori nini kilifata.

Mwanaume kama unapenda amani na utulivu, acha kiburi, tumia akili nyingi. Hawa malaya wasihusishwe na mustakabali wako wa familia, haijalishi afya ya mahusiano ya kwako na mke wako.

Tatizo makalio yamewachanganya sasa hamuwazi kwa kina.
 
kama mwanaume huyo amefanikiwa kuwafanya wote wawe watiifu kwwnye acc yake ya pesa.

kikichotokea ni changamoto ndogo sana,jamaa apewe maua yake.
 
Heading ilitakiwa iwe "wanaume acheni kuchepuka, tulieni na wake zenu"
 
Huo mchepuko apewe tuzo ya mchepuko bora wa karne. Huyo wakala ni mpumbavu mno. Ila jamaa ni dudu tu au kuna kamzizi anatumia kuweza kuwafanya hao wanawake wawe watiifu kwake kiasi hicho?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom