Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

Wewe ni Mtusi usiwasemee Wahutu, hilo ni suala la muda tu. Wala usidanganye watu kuwa wanaishi vizuri kwa amani. Wangekuwa wanaishi kwa amani angemteka yule Star wa Hotel Rwanda na kuja kumuwekea kangaroo Court kumfunga? Ogopa watu wanaoumia kimya kimya, wakilipuka itakuwa mbaya kuliko hata Sudan
 
Sina utusi wowote ndugu.
Tatizo letu wabongo mtu akiongea tofauti basi anakua labelled.
Hivi unajua PK amekua akiwa target watu wangapi wahutu kwa tutsi na wengine hata watu wake wakaribu? Tunapojadili madhambi yake tusijadili kwa kunasabaisha na ukabila. PK ana matatizo kama walivyo watawala wengine wa kiafrika.
 
Wewe ni Mtusi kwa jina lako unless uniambia ni parody name. Lakini hata ukilikataa bado uandishi wako unaonyesha ni Mtusi tu.
 
Una taarifa za Ikulu kwamba hii ziara haijapangwa muda mrefu na imekua ghafla?
Unaweza kutuambia ughafla wake upoje? Aliamka asubuhi akasema kesho naja Tanzania?
Msamehe ndo vijana tulikuwa hatuwachapi utoton
 
Big up mkuu. Umeongea fact ila naona watu wengi wanaongelea negative tu.

Akili tu ya kawaida inakuonesha jinsi anbavyo Rwanda imepiga hatua kubwa kiuchumi na kijamii kuliki jirani zake licha ya kupitia mapito magumu.


chuki ni uchawi
 
Tumekwisha, huyu Kagame ni muuaji na dikiteita kuwahi kuwepo Africa, sasa kaja kupandikiza udikiteita. Twafa, omba tusirudi enzi za Jiwe.
Udikteta Hauambukizwii kama UKIMWI... udikteta ni mtu wa ndani kabisa.. ni nafsi!! hivyo kama mtu sio dikteta hawezi kua dikteta kwa kuambukizwa!! Relax... Chief wetu ni imara sana.
 
Udikteta Hauambukizwii kama UKIMWI... udikteta ni mtu wa ndani kabisa.. ni nafsi!! hivyo kama mtu sio dikteta hawezi kua dikteta kwa kuambukizwa!! Relax... Chief wetu ni imara sana.
Misleading can also occur! New ideas can crop up from neighbours giving you new strategies to consolidate power!
 
Mwezi huu kuna meli itaingia na mzigo wa Mahindi ya Rwanda, alikuja kuweka na kuangalia mipango ya logistics zake. Kama sikosei 2017/18 meli ya mzigo wake wa chakula ilipata short ya tani 1000+
 
Mwl Julius Kambarage Nyerere ataishi milele. Alikuwa Genius
 
Yeye pk kajuaje kuwa Mseveni anamshawishi Mama asiwape kambi FAR. Ila akumbuke naye alipopitia ndio na wenzake wanafanya hivyoivo. Kuanzia Tanzania ,Uganda then FAR hawa hapo Kigali by june 2024
 
Mjomba wako kipigo kinakaribia
 
BURUNDI hiyo ni sehemu ya Bongo hivyo tuaachieni wenyewe. Tukishindwa Dar tunahamia BUJUMBUX
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…