britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,165
- 47,867
Hata habari za kifo cha magu si zilianza hvhv.Nitakuwa wa mwisho kuamini hilo
Tuombe Uzma.ila mimi nipo siti ya nyuma kabisa.Hata habari za kifo cha magu si zilianza hvhv.
So far sijasikia mlio wwt, mmesahau JW wanavyokuwaga haraka sana kukanusha mambo? hili kwa nini halina release special ya kukanusha.
Lisemwalo lipo, na kama halipo basi linakuja.
Mkuu isije kuwa namnafanya hii hapa chini. hamueleweki ninyi!!!maana wavaa
Hii ni "sukari trap" nini kupata "rouge elements" zote huko kunako husika?
===
Teknolojia inakwenda kasi sana
Ila nyota za mabegani ni zenyewe?Wanakwambia eti ile kofia sio
😂😂
Chawa sisiem bana
Futika TU ,hata kwenye tukio we ni wa mwishoNitakuwa wa mwisho kuamini hilo
Ni wahuni sana.Mkuu isije kuwa namnafanya hii hapa chini. hamueleweki ninyi!!!
Njiani huwa nakutana na gari lina nyota moja lakini mtiti wake si wa nchi hii!! Sasa hizi nyota zote...balaa lake sijui likoje?Ila nyota za mabegani ni zenyewe?