Je, ni kweli watoto wachanga huwa wanaona wachawi?

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,661
8,655
Heshima kwako Mkuu
kuna jambo linanitatiza bro Mshana jr na napenda uweze kunisaidia kama unaweza kuwa unafaham
Hivi kuna ukweli wowote kuwa Watoto wachanga hua wanaona Wachawi a.k.a mawizard.. Maana kuna ma mdogo wangu ana kichanga chake sasa wakat wa usiku kakilia utasikia wanasema huyo kaona mchawi ndo maana analia
siyo mamdogo anae sema hivo bali hata watu wengine pia wanasema hivo.
Tafadhali nambie kama kweli hayo madai hua ni kweli au ni imani tu?

Kama pia wewe unajua unaweza nifahamisha

nawasilisha
 
, Aseee leo naombeni niulize, hiv huyu mshana alisharoga au kuagua mtu humu? mana Sijawah ona mada ya kichawi ikamkosaa, kuna jamaa katoa uzi wa watu anaowakubali, cha kushangaza kamtaja Mshana kwa kumsifia kwa mambo ya uchawi, mwingne hivyo hivyo Anadai hapendi mambo yake ya kichawi.

Mkuu Mshana Naomba kama nilishakukwaza unisamehe mkuu, chonde chonde mkuu nakuheshimu sana
 
naona yeye kajaliwa jicho la Tatu mkuu
 
, Aseee leo naombeni niulize, hiv huyu mshana alisharoga au kuagua mtu humu? mana Sijawah ona mada ya kichawi ikamkosaa, kuna jamaa katoa uzi wa watu anaowakubali, cha kushangaza kamtaja Mshana kwa kumsifia kwa mambo ya uchawi, mwingne hivyo hivyo Anadai hapendi mambo yake ya kichawi.

Mkuu Mshana Naomba kama nilishakukwaza unisamehe mkuu, chonde chonde mkuu nakuheshimu sana
reyzzap ngoja tusubiri na shuhuda za wengine
 
Heshima kwako Mkuu
kuna jambo linanitatiza bro Mshana jr na napenda uweze kunisaidia kama unaweza kuwa unafaham
Hivi kuna ukweli wowote kuwa Watoto wachanga hua wanaona Wachawi a.k.a mawizard.. Maana kuna ma mdogo wangu ana kichanga chake sasa wakat wa usiku kakilia utasikia wanasema huyo kaona mchawi ndo maana analia
siyo mamdogo anae sema hivo bali hata watu wengine pia wanasema hivo.
Tafadhali nambie kama kweli hayo madai hua ni kweli au ni imani tu?

Kama pia wewe unajua unaweza nifahamisha

nawasilisha

Mimi ninachojua tu ni kwamba huwa wanakuwa active sana pale ambapo Wazazi wao Wanabanduana na mshindo ukimalizika nao hupatwa na usingizi wa ghafla.
 
Kuna post yake nimeisahau heading nimelizungumzia hilo kwa undani
Ni kweli kabisa watoto huona wachawi kwakuwa they are still very pure

Ninakubaliana na wewe Bro, mtoto wangu alipokuwa mdogo (chini ya mwaka na nusu) akija msichan mpya wa kazi kama ni mbaya usiku wake tunajua kwani mtoto hatalala atalia na kusumbua usiku kucha....tukishaona hivyo tulikuwa tunafanya maombi mtoto analala vzr tu....then tunaweka utaratibu wa kuomba kila siku usiku kabla ya kulala pamoja na msichana wa kazi....kwa kwel walikuwa hawakai sana kwetu hao wenye mambo ya ajabu walikuwa wanaondoka tena wengine ktk mazingira ya kutatanisha kabisa,
 
aisee
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom