Je, ni kweli watoto wachanga huwa wanaona wachawi?

Hizi fact kama zinajadiliwa na walevi vile!! Yaani jiulize ww kwanza je nilivyokua mdogo niliwahi kuwaona hao wachawi? Basi jibu utalipata tu
Tumia akili sio makamasi, ww tuambie ulivyo vifanya kipindi ukiwa mdogo usiye jitambua.
 
Tumia akili sio makamasi, ww tuambie ulivyo vifanya kipindi ukiwa mdogo usiye jitambua.
Hahahahaha swali nimeuliza mimi! Lete taarifa je ulivyokua mchanga uliwahi kuwashuhudia wachawi wangapi wakija kwenu!! Easy tu mbona
 
Tumia akili sio makamasi, ww tuambie ulivyo vifanya kipindi ukiwa mdogo usiye jitambua.
Sasa utatuthibitishiaje kitu hukiwahi kukiona ww mwenyewe halafu uje kuongopea umma hapa tafafhali sana!
 
Hizi fact kama zinajadiliwa na walevi vile!! Yaani jiulize ww kwanza je nilivyokua mdogo niliwahi kuwaona hao wachawi? Basi jibu utalipata tu
kwani wewe ulivyo kuwa kichanga ulijijua kama we ni kichanga c ulishangaa tu umeshajitambua
 
Ni kweli. Watoto wengi wana 'sixth sense' ya kutambua wachawi. Tena sio hiyo tu. Mtoto mchanga 'anamtambua' mtu mwenye chuki au hasira ndani yake kwa kumwangalia tu. Ndio maana mtu anaweza akataka kumpokea mtoto mchanga huyo mtoto akakataa katukatu, lakini mtu mwingine akimpokea anamkubali tena anatabasamu. Na wewe baba yake ukimbeba mtoto wake kama una furaha moyoni, hako katoto katakuchekea tu. Jaribu kama una mtoto mchanga.

Hizo hisia za mtoto mchanga unakuta bado ziko 'pure' wakati akiwa mdogo. Anapokua, masahibu ya dunia yanazidumaza. Lakini hata wewe mtu mzima, je, hujawahi kupita mahali ukajisikia msisimko fulani wa hofu au kukosa amani unapopita sehemu hiyo, na ukajua wazi moyoni kwamba hapo kuna kitu ambacho hakiko sawa?

Wanaosema uchawi haupo kama ni Wakristo au Waislamu siwaelewi. Kwenye vitabu vya dini zote mbili, watu wamekatazwa kujiingiza kwenye ushirikina (yaani uchawi). Je, uchawi ungekatazwa kama haupo?
 
Hapo mwanzo Mungu aliumba MTU mme na mtu mke,
Baada ya kupewa pumzi huyu mwanaume alitamani kumuweka mwanamke chinj take,yaani afuate amli zake.

Yule mwanamke alikataa kumilikiwa na mwanaume akaondoka kwenda kuishi na ibirisi na ikawa hivyo,

Alikataa kuendelea kuishi na Adam kwa kigezo kuwa ,hawezi kuishi na Mtu anaetaka kumuweka chini yake wakati wote wameumbwa kwa udongo.

Adam akaumia moyoni,akaenda kwa aliewaumba akamwambia ,yule ulie niumbanae ametoloka naomba unisaidie aludi.

Mungu alituma maraika watatu kwenda kumuludisha ,walipokwenda walimkuta yupo na ibiris na alikua na uwezo wa kuzaa watoto wengi kwa kipindi kifupi.

Aliwaambia Mimi siwezi kuludi kwa Adam,
Mungu aliwaamulu wale malaika waue uzazi we huyo mwanamke maana ameshaasi na kua ibiris.

Yule alisema SIWEZI KULUDI HATA WAKIUA UZAO WANGU NA MIMI NIPAMBANA KUUA UZAO WA ADAM ,HASA KUANZIA KUZALIWA HADI SIKU 60.

ibiris huyo aliendelea kusababisha vifo vya vichanga hadi miaka ya hivi kalibuni walipogundua kua ni ibiris,

Watu wakaanza kuwakinga watoto wao mfano :-wapagani wanawafunga dawa (hirizi )wanazoziamini wao.
Wakristo wanaombea kwa imani yao ,na waislam wanawasomoe dua zao.

Watu wa saikolojia wanasema mtoto kuanzia saa anazaliwa hadi miaka mi3 anahisi.na watu dini wanashauli mtoto anapozaliwa tu asisikie neno lolote kwenye masikio yake,anatakiwa asikie dua/maombi kwa Mungu.
Kwahiyo hata wale wakunga wanaotoa lugha za matusi wanapo zalisha wanafanya makosa makubwa kwa mtoto.

Katika uhai wa binadam ,mwanadam amezunguukwa kitu kama upinde wa mvua , kitu chochote kibaya kikikalibia kukugusa lazima mwili utakusisimka una utahisi hauko Salama.
Kwavile mtoto mchanga anaishi kwa kuhisi ,na huyu ibiris anataka kumdhulu kama anlivyoahidi basi mtoto atahisi hayupo Salama na ataanza kulia kwa nguvu na unapotafanya maombi kwa kumtaja Mungu basi ibiris atakimbia na mtoto atanyamaza.

ANGALIZO.
mwanamke huyu ibiris tukumbuke aliondoka kwa Adam akiwa anadai haki ya kuwa Sawa na mwanaume,ameludi kwa kasi katika kizazi hiki kwa kwa kutaka khaki yake ya kuwa Sawa na wanaume.
Na anawatumia watu wanaopingana na Mungu kwa kwa kuwafundisha watu kuwa ,mwanamke name mwanaume wote Sawa.
 
Acha ulimbukeni wa serikali yako.! Uchawi upo na wachawi wapo.
Uchawi ni story za kusadikika haupo. Wajinga hasa waafrika kwa kukosa elimu/maarifa wanajaribu kujazia mawazo yao na mambo ya kufikirika kama uchawi.
 
Back
Top Bottom