Je, ni kweli watoto wachanga huwa wanaona wachawi?

Kuna sababu za kisayansi.

Yaleyale ya mbwa akibweka kwavile sisi hatuoni kitu tunaambiwa anaona wachawi kumbe sababu ya kisayansi ipo wazi kabisa.
 
Wanaonaje wachawi wakati Hakuna uchawi wala wachawi. Story za uchawi ni za kusadikika na wajinga fall for it
 
Kuna post yake nimeisahau heading nimelizungumzia hilo kwa undani
Ni kweli kabisa watoto huona wachawi kwakuwa they are still very pure
Unaweza kutupa prouv? Ya uhakika kabisa kua watoto wachanga huwaona wachawi?
 
Ninakubaliana na wewe Bro, mtoto wangu alipokuwa mdogo (chini ya mwaka na nusu) akija msichan mpya wa kazi kama ni mbaya usiku wake tunajua kwani mtoto hatalala atalia na kusumbua usiku kucha....tukishaona hivyo tulikuwa tunafanya maombi mtoto analala vzr tu....then tunaweka utaratibu wa kuomba kila siku usiku kabla ya kulala pamoja na msichana wa kazi....kwa kwel walikuwa hawakai sana kwetu hao wenye mambo ya ajabu walikuwa wanaondoka tena wengine ktk mazingira ya kutatanisha kabisa,
Maana yake ww hukuwahi kua mchanga ili uje kuthibitisha dhana uzaniayo kwa huyo mtoto?
 
Hizi fact kama zinajadiliwa na walevi vile!! Yaani jiulize ww kwanza je nilivyokua mdogo niliwahi kuwaona hao wachawi? Basi jibu utalipata tu
 
Back
Top Bottom