Je, ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache?

Je ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache?

  • Kweli

    Votes: 4 40.0%
  • Si kweli

    Votes: 4 40.0%
  • Sijui

    Votes: 2 20.0%

  • Total voters
    10

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
Je, ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache?

"Angalia mtaani/vyombo vya habari/watu unaosikia wamejifungua: utaona miongoni mwa watoto waliozaliwa, watoto wa kiume ni adimu -- watoto wengi wakiwa ni wa kike. " alisikika mtu mzima fulani akiongea.

Yana ukweli?
 
Je ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache?

"Angalia mtaani/vyombo vya habari/watu unaosikia wamejifungua: utaona miongoni mwa watoto waliozaliwa, watoto wa kiume ni adimu -- watoto wengi wakiwa ni wa kike. " alisikika mtu mzima fulani akiongea.

Yana ukweli?
100% kaka
 
Ndo maana mtaani mademu wananililia sana.
 
Wanaume ni mbegu adimu sana haipatikani kirahisi na kizembe.....

Unadhani mfano tungekuwa tunazaliwa wanaume 6 wanawake wawili..... Hao wanawake wakishapevuka na sisi wanaume tukapevuka tungeishi vipi?!

Mwanaume m'moja unaweza mfungia chumba kimoja na wasichana 10 wazuri wenye miili ya utamu, atawamudu na atapita nao wote na kuwaridhisha bila shida tena anaweza kuomba kuomgezewa wengine.

Mfungie mwanamke m'moja na wanaume kumi walioshiba vizuri wanaojua kupiga mashine.... Huyo mwanamke kesho ataomba kutoka katika hicho chumba haraka maana ataogopa kutolewa roho.
 
Je ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache?

"Angalia mtaani/vyombo vya habari/watu unaosikia wamejifungua: utaona miongoni mwa watoto waliozaliwa, watoto wa kiume ni adimu -- watoto wengi wakiwa ni wa kike. " alisikika mtu mzima fulani akiongea.

Yana ukweli?
Wanaume wanapitia misukosuko mingi katika maisha, kazi ngumu, maradhi, ajali, jela...
 
Mtaani wanaume wanazaliwa wengi kuliko wanawake sema kukua Hadi kufikisha fourty ndio binde
 
Wanaume wanazaliwa wengi mbona labda wanakufa mapema lakini uwiano uko sawa.
Mimi enzi hizo nazaa watoto nakumbuka watoto wa kiume walikuwa wengi kuliko wa kike. Mwaka juzi nilienda ona mtoto wa rafiki yangu kujifungua wodi nzima ilikuwa na watoto wa kiume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom