Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
Juzi nilienda madukani kuulizia tablet nikaambiwa hazipo mkoani ila nikitaka naagiziwa toka dar. pia nikaambiwa zipo brands za tecno Samsung.
Sasa nikawa nauliza Sana kuhusu tecno wakiniambia nitaipata kwa Tshs 250000.
Je ni kweli tecno Wana tablet new brand na je bei ina range ngapi hadi ngapi?