Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,228
- 44,234
YAP unaweza kusomea na task zote za kawaida kama kuangalia video, kubrowse etc.ok , vipi kuhusu PDF files, mfano nina EBooks naweza tumia kusomea?
Na Amazon wenyewe ndio Wamiliki wa Kindle hivyo zipo optimized kwa kazi hio.