johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,877
Inaeleweka wazi kwamba Spika wa Bunge siyo lazima awe Mbunge, hivyo Stephen Massele na Andrew Chenge wanaweza kugombea uspika.
Tetesi nilizopewa na kada mkongwe Mzee Mgaya ni kwamba kuna uwezekano mkubwa zamu hii Spika akatoka nje ya kundi la wabunge kama tulivyozoea.
Na kwamba Spika wa sasa anaandaliwa kuwa Waziri wa Kilimo ambako amebobea kitaaluma.
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!