Je, ni kweli Spika wa Bunge lijalo anaweza kuwa Stephen Masele na Ndugai kuwa Waziri wa Kilimo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,589
141,392
Inaeleweka wazi kwamba Spika wa Bunge siyo lazima awe Mbunge, hivyo Stephen Massele na Andrew Chenge wanaweza kugombea uspika.

Tetesi nilizopewa na kada mkongwe Mzee Mgaya ni kwamba kuna uwezekano mkubwa zamu hii Spika akatoka nje ya kundi la wabunge kama tulivyozoea.

Na kwamba Spika wa sasa anaandaliwa kuwa Waziri wa Kilimo ambako amebobea kitaaluma.

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
 
Yaaani hii mijamaa utazani tayar uchaguz umefanyika kwamba mnajua matokeo acheni undezi hii ndo mara yenu ya mwisho kutawala 20/25 ni chadema kwenda mbereeeeeeeeeee
 
Ndugai kuwa spika wa bunge ni misuses of human resources, yule andunje kasomea ugambo wa wanyama pori, maajabu ya dunia tz kapewa aongoze chombo kinachohitaji mwanasheria wa daraja la kwanza!
 
Bunge lijalo spika ni mwanamke zamu ya Halima Mdee waziri mkuu mwanamke Esta Bulaya Massele atakua spika kivuli.
 
Si dhani kama JPM anaweza kufanya mabadiriko ya Speker, sababu ni kama ifuatavyo:
JPM humkubali sana Ndugai, na sababu inayopelekea JPM kumkubali kupita kiasi ni kuwa Ndugai kalidhibiti bunge, bunge la Ndugai halikuyumbishwa na wapinzani kama la Mama Anna Makinda, Mama Anna Makinda aliyumbishwa mno (japo huyu mama JPM humpendaga ndio mana yuko NHIF)....Bunge likiyumba na serikali inakuwa matatani (huoni hata Marekani Trump anavyoyumbishwa)
 
Inaeleweka wazi kwamba Spika wa bunge siyo lazima awe mbunge, hivyo Stephen Massele na Andrew Chenge wanaweza kugombea uspika.

Tetesi nilizopewa na kada mkongwe mzee Mgaya ni kwamba kuna uwezekano mkubwa zamu hii Spika akatoka nje ya kundi la wabunge kama tulivyozoea.

Na kwamba Spika wa sasa anaandaliwa kuwa waziri wa kilimo ambako amebobea kitaaluma.

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Toa upumbavu wako hapa.
 
Inaeleweka wazi kwamba Spika wa bunge siyo lazima awe mbunge, hivyo Stephen Massele na Andrew Chenge wanaweza kugombea uspika.

Tetesi nilizopewa na kada mkongwe mzee Mgaya ni kwamba kuna uwezekano mkubwa zamu hii Spika akatoka nje ya kundi la wabunge kama tulivyozoea.

Na kwamba Spika wa sasa anaandaliwa kuwa waziri wa kilimo ambako amebobea kitaaluma.

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Ndugai akiwa Waziri wa Kilimo ataongeza migogoro ya Wakulima na Wafugaji kwa sababu Hana akili ya kuongoza, zuzu flan hivi
 
yaaani hii mijamaa utazani tayar uchaguz umefanyika kwamba mnajua matokeo acheni undezi hii ndo mara yenu ya mwisho kutawala 20/25 ni chadema kwenda mbereeeeeeeeeee
Dalili ya mvua ni mawingu...Ushindi wa CCM unaonekana hata kabla ya uchaguzi (Sera safi, kampeni safi)...upo hapo!
 
Back
Top Bottom