Bujibuji, ahadi ya Mungu kwetu ni kuishi. Ikemee ndoto hiyo Kuwa kukiri ahadi ya Mungu Kuwa tutaishi miaka zaidi ya 120 na pia Kuwa hutakufa Bali tutaishi. Kumbuka Kuwa Sometimes the devil is a lier. Sio kila ndoto yatokakwa Bwana na pia sometimes shetani Hujifanya malaika ili akupate .
kweli ikate hyo roho yakufa.na hutakufa utaishi
Usiogope, kufa utakufa tu, iwe leo, kesho, keshokutwa, mwezi huu, mwezi ujao , mwakani. Unatembea na mauti yako.
Chukulia kuwa hiyo ndoto ni ya kweli na unatakiwa ufanye toba za nguvu.
Bye Bujibuji, will miss you.
Duh aiseee hivi Bujibuji upo
Duh aiseee hivi Bujibuji upo
Mara ya mwisho kupost kwenye thread hii ni 28 Nov 2013. Au amebadilisha ID. Kama amefariki kweli RIP Bujibuji.
Usimchanganye mwenzio kihivyo
Hahahahahahaaaaa!
Nimeshaandaa sanda! Nikiskia kavuta tu, naipeleka!
Bujibuji hujafa tu? Siku zimebaki nne tano hivi.