Mas The Great
Senior Member
- Dec 27, 2011
- 150
- 64
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...[/QUOTE
Mieleweshe hapo tafadhali...kama mke wako ni mzuri sana! Ni kweli unaweza ukafa...
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...
Ni kweliNimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...
Kweli mda siyo rafiki anzeni kuazima matrubai especially mtakao pata mirathi ya uncle Bujibuji halafu ebu tupe nasaha na maneno ya mwisho mkuu sababu hatujui kama pasaka tutakuwa wote.mkuu anza kuandika urithi, mie ntarithi user ID yako ya JF
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...
ndoto ya pepo magirini towekaaaaaa, ushindwe kabisa. Mimi sitokufa, bali nitaishi
Nilizama kwenye vitabu maana yake nimegundua kuwa TANZANIA imeshakufa mwaka huuNimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???