Mkuu husijidanganye bure,hii haikuwa mada ya watoto,ata mimi yameshanikuta bidada-25 age akanambia bikira siku naenda kwao,mama yake anamuuliza: "wewe ulikuwa wapi kila siku kutwa na njia na huyo bwana yako hawa watoto wako umezaa nani akulelee?",nilikimbia mpaka nikasahau ninapoishi.
Mkuu haya yapo na yanatokea, hawa viumbe sio wakuwaamini pia sio wema walitufukizisha peponi,ona sasa siku ya 3 mvua inanyesha nalala juu ya paa mana Panya-road wamerudishwa toka SA.
mmh katelelo ndio nn?
kama wewe hujui sisi tutajuaje?
Kumtoa bikra mwanamke ni lazima ionekane damu???
Msaada wenu
Mmmh hakuna damu bt binti husikia maumivu makali tuuu unapoingia. Damu labda ya hedhi hiyoooo..
mbona mimi sikuwahi kusikia hayo maumivu makali???
Sasa utasikiaje maumivu ikiwa bado bikra yako hujamkabidhi mtu aishughurikie !!
Kumtoa bikra mwanamke ni lazima ionekane damu???
Msaada wenu