Je ni kweli nilimtoa bikra?

kakuzuga huyo.ili aonekane wewe ndio uliomtoa,wakati kuna mwengine kabla ya hapo alietoa.kwa nini mtu usiwe mkweli.kama mtu anakupenda bikira sio big deal
inategemea huenda uonge wa binti unatikana na huyu kijana kuabudu bikira. ninashangaa sana baadhi ya wanaume kuthamini bikira na si tabia na mwenendo wa mtu.ki msingi kama ilivyo kwa mwanaume ... mwanamke kufanya sex ni hitaji la mwili. siwezi kulaumu mtu ambae alifanya hivyo kabla ya kuwa na mimi , alitimiza hitaji lake nami sikuwepo. so sioni kwanini nianze kuwinda na kuabudu bikira
 
 

umeelewa kilichoandikwa?
 
hadi sasa nishatotoa wanne, mwakani natarajia kuongeza wa 5!!!
 
umeelewa kilichoandikwa?
unaelewa unachoandika?... unadhani bikira uliyoitoa wewe huko yaweza thibitishwa na maneno ya watu hapa jamii forums? ungeliweka picha hapa naamini walio wengi wangekwambia kama kuna bikira bado au ilishatolewa.
 
nilijaribu kidole hakikupita.

khaaa! jaman yaani wewe kaka uko innocent sana ila sasa MODS please naomba nifunguke tu ili kumuokolea huyu kijana jahazi naumia kama vile ni mwanangu.
Pindima kwanza kabisa kitendo ulichofanya siyo kweli kwamba kimemtoa huyo dada bikra. pili wewe kuingiza kidole kwenye utupu wake na kugoma kuingia kina tafsiri hii, uke wa mwanamke hata kama utalainishwa kiasi gani kwa lubricant hauwez kuruhusu kitu kupenya kirahisi huwa kadiri mtu anavyokuwa stimulated ndivyo contraction of muscles za uke zinakuwa kubwa na hii ndio hufanya unapokuwa ndani ya uke kuskia mmbano ambao huleta mfyonzo. sijui kama umenielewa hapa. hivyo swala la wewe kushndwa kupitisha kidole laweza kuchangiwa na hali ya misuli ya uke kubana tu.

mfano mzuri mwanamke anapojisafisha akiingiza kidole mara ya kwanza, akija kujaribu kupitisha mara ya pili eneo lile hujifunga kabisa na hivyo kuzuia kidole kupita. sasa jaribu kumfanyia jaribio hilo utaona ukweli.

tuje kwenye kuumwa tumbo na kutoka damu, damu hiyo ina asilika wapi?? damu ya ubikra iki dumu sana sana ni masaa4 machache na damu hii haitoki nyingi sana ni kidogo kias kwamba hata akivaa pedi haitaj kubadilisha,. inapotokea damu kuwa nyingi kiasi cha kubadili pedi basi damu hiyo huwa imekutana na period ambayo imekuwa ama ilishafika muda wake ama imekuwa initiated na kitendo chenyewe hasa kwa mtu ambaye ni mwoga wa kile kitendo ama ni mgeni kabisa.

sasa nimalizie kwa kusema huyo bidada yawezekana kabisa akawa hajui bikira inatokaje na wewe pia huji ni kitu gani ama la kama dada ni mjanja sana inawezekana ikawa kinyume chake.
 
Last edited by a moderator:
unaelewa unachoandika?... unadhani bikira uliyoitoa wewe huko yaweza thibitishwa na maneno ya watu hapa jamii forums? ungeliweka picha hapa naamini walio wengi wangekwambia kama kuna bikira bado au ilishatolewa.

najua nilichokiandika na si hicho ulichocomment, samahani lakini
 

Kwa namna hii ya kufikiri, nadhani linahitajika somo kabisa kwa wanaume kujua bkr nini nini na inakuaje, wengine wandhani ni seal iko kote, hahaa, ni kautando kanaokua juu pembeni (ndani) ya uke na unakuwa na damu ndani yake. Mengineyo kwa sababu hayajawahi kuingiliwa ndio mtu anaumia kutokana na elesticity.

Maana ya Bikira ni hivi:- Hakuna agano ambalo limewahi kufanyika pasipo kuwa na umwagaji wa damu kwa principal za Kimungu, so ile damu kumwagika ni agano la mtu mume na mke kutotengana daima. Kama umetoa wasichana kumi bikira, una agano na hao kumi. kama ni laana/mikosi yakwao itaambatana nawe hadi utakapopata deliverance/ kujitenga na hao. au kama mtu umewahi lala na wakaka kumi au wadada kumi, utakuwa na connection nao za kiroho hadi utapowakana au kufanyiwa deliverance ndio hata ukioa utakuwa hufungamani na agano /patano lingine lolote na utakua salama zaidi.

mwenye ufahamu na afahamu.

Mwenye uelewa mpana zaidi naomba atusaidie zaidi.
 

Kudadadeki,ningeshangaa mtalamu kama wewe usitokee mahali kama hapa,ahsante kwa kuelezea upande wa pili na kuionesha picha ilivyo,mi nilijaribu kufunguka kidogo ila wewe umemaliza kabisa.mambo yako gfsonwin wangu upo???!!
 

ilikuwa ya kichina. Chunga sana bikira za miaka hii, utaliwa na manyoya yako ohoo
 
Kudadadeki,ningeshangaa mtalamu kama wewe usitokee mahali kama hapa,ahsante kwa kuelezea upande wa pili na kuionesha picha ilivyo,mi nilijaribu kufunguka kidogo ila wewe umemaliza kabisa.mambo yako gfsonwin wangu upo???!!
nipo rafiki. nakutakia mwaka mpya mwema sana rafiki.
 
am more than serious!!!

Dah!!!!!!!!!
Sishangai sana lakini nimestuka kidogo kwa sababu sikutegemea kama unaweza ukawa umewafikisha,kwa sababu the way unavyochangia nilikuwa naamini weye bado kabisa!!!!!!!,poa wangu lakini uwe mkweli usije ukawa unasema hivyo kumbe si kweli unajua tena wanaweza kupatika humuhumu mamii!!!!!!!
 
ni kweli tunampango wa kutengeneza timu hadi ifikapo 2015....wa huku wengi fekeroooo....wajua bado nautamani usichana ndo mana waona nachangia ka hao!!!
 
ni kweli tunampango wa kutengeneza timu hadi ifikapo 2015....wa huku wengi fekeroooo....wajua bado nautamani usichana ndo mana waona nachangia ka hao!!!

Hapana hao wa4 wametosha vinginevyo utaharibu sana baadhi ya maeneo kwenye mwili wangu si unajua tena mamii??!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…