Je, ni kweli mgombea Urais CCM 2025 ni Dr. Bashiru Ally Kakurwa?

Hadithi yako inatufunza mini?
 
Mleta uzi,utakuwa mvivu,mzururaji na mzembe,unaongeleaje mambo ya 2025 ,umemaliza ya 2020?
 
China hawafuati usoshalisti.

Na sielewi "kufanikiwa" unakupima vipi.
Wanafata usoshalisti mzee hilo aliitaji mjadala mrefu labda uniambie sio kwa asilimia 100, mafanikio ni kuboresha hali za watu wako katika nyanja zote
 
Wanafata usoshalisti mzee hilo aliitaji mjadala mrefu labda uniambie sio kwa asilimia 100, mafanikio ni kuboresha hali za watu wako katika nyanja zote
Sina hakika hata kama maana ya usoshalisti unaelewa, unaelewa tofauti za usoshalisti na ukomunisti, na kwamba China hakuna hata chama cha usoshalisti.

Na "kuboresha hali za watu katika nyanja zote" is rather vague.

China watu hawana uhuru hata wa kujieleza tu. Leo hii watu wamevamia bunge Hong Kong wanapinga kuendeshwa msukule na serikali.

Sasa unapoandika China wana maendeleo kwa minajili ya "kuboresha hali za watu katika nyanja zote", hao wanaoandamana Hong Kong wanaandamana kwa sababu gani? Mchina hata kwenda kuishi Beijing nchini mwake mwenyewe anahitaji visa. Sasa hayo maendeleo gani?
 
Huyo afai atatuletea umasikini ( ujamaa), MTU mwenye itikadi za njaa ilitakiwa atawale miaka ya 60.
 
Watu waliokulia kwenye shida na umaskini wenye itikadi za kijamaa, washamba hawafai kuwa viongozi wakuu.

Sorry Dr Bashiru ni Mwalimu aliyenifundisha kwa miaka miwili lakini kwenye Urais nakataa.
 
Maaandamano yapo dunia nzima sio china tu , serikali ina jukumu la kufanya maamuzi kwa maslahi mapana , sio kila anaendamana lazima atimiziwe hitaji lake ata kama halina faida kwa ustawi wa nchi , huwezi Pinga maendeleo ya china eti kisa kuna kikundi cha watu kinaandama, Serikali ya china ipo wazi yeyote atakae fanya kosa sheria itoe mwanya kuwa anaweza shtakiwa ata Beijing , hiki wa Hong Kong hawakitaki , serikali imewapuuza kwa sababu hoja zao ni mufilisi, kuhusu, kuhusu usoshalisti nimekwambia Mchina anahuishi huu
 
Huu Ni zaidi ya utabiri ila Ni uchawi. Jamani tufanye kazi tuache porojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…