Je, ni kweli kwamba Makonda kakimbilia Afrika ya kusini?

Sitegemei DAB kufanywa chochote ukizingatia hajakwazana na top cabinet.
Pia alisoma alama za nyakati mapema akafunga mdomo ..imemsaidia sana
Hajakwazana na top cabinet?Huyo jamaa alikuwa hamsikilizi pm wala vp alikuwa hana tofauti na Sabaya.Kama ndo mawaziri aliwadharau sana kufikia kusema yeye na waziri hakuna tofauti yoyote.
 
Hii post ingekuwa imeletwa na mtu asiyekuwa wa chadema ingekuwa imeshapelekwa kwenye jukwaa la tetesi zamani sana; lakini kwa kuwa aliyepost ni mchadema wa kindakindaki basi tutaendelea kuiona kwenye jukwaa za siasa mpaka kieleweke!
Jukwaa la tetesi ndio lipi
 
Makonda anamsaidia baba mkwe wake ku run Hospital yake Makonda ya "Moyo" yenye vifaa vya kisasa aliyoipata akiwa mtumishi wa uma. Iko pale Arusha nyuma ya AICC. Pia ana monitor kwa mbali Bureau de change yake katikati ya Arusha aliyojipatia baada ya kukwapua mapesa kila kona na kufunga za wengine kwa kutumia JWTZ wakati wa uhai wa baba yake. Dodoma anaangalia plots zake kwa makumi. Nadhani alishafanikiwa kubadili nyaraka mbalimbali BRELA. Pole Bashite. Pengine uta bounce back wakati flani. Nature ni nature.
 
Kwa mwezi uliopita alikuwa Arusha Njiro makazi mapya na akijishughulisha na kilimo cha mboga, kwa taarifa chalii za Arusha tayari walishampiga bao kwa kuuza mazao bila kumpa chochote, akasema anamwachia Mungu.
Sasa kama amepaa hizo ni mpya
Dah machalii noma sana
 
kuna watu ujanja wao uko humuhumu tu tena kwa sababu ya MaGod father nje ya hapo ni wachumba tu.....huyo jamaa ujanja wake mwisho ni pale Midland kwa nanihii , ngoja tuache tu....ujanja wake umeishia hapo....hahahaha ila yuko meza ya jirani hapa anasubiri naye kupewa kazi kama mwenzie ili wawazamishe CDM....hahahaha Bongo ngumu sana.....
Mhhh hiyo meza ya jirani ndio location gani
 
View attachment 1975718

Zipo tetesi kwamba yule Mkuu wa mkoa bora kuwahi kutokea nchini Tanzania , Mh Paulo Makonda amekimbilia South Africa baada ya kusoma alama za nyakati .

Jf ina watu wengi kutoka sekta tofauti , kuna ukweli wowote kwenye hili , na kwanini akimbie ?

Uzuri wa Mambo ya jinai huwa hayana muda, atawajibishwa tu... Ule uharibifu alipovamia clouds na kuchafua brand image ya progammes za biashara ya clouds na prime time promotion, tetesi za kifo cha swahiba wake waliokuja kuwa maadaui ghafla baada ya ruge kukataa mashinikizo ya bashite na bashite kumfanyizia fujo,kudhalilisha kuwapiga staff kwa kutumia ubabe wa kuwa kiongozi. Ukwepaji Kodi, kujipatia mali, viwanja kwa dhuluma na shortcut, kudhalilisha watu kwa kuwatangaza kwenye jamii kwamba ni watumia na wauzaji wa unga pasipo ushahidi(aliwahukumu kwenye jamii na duniani) hao kina manji, ridhiwani, Idd Azzan alimletea madhara akakosa ubunge, listi ni kubwa leo jamii haiwaheshimu wale watu. Kushambuliwa lisu - on top ya ile Mambo lisu claimed Sana. Marekani kupitia udhooefu wao wanatambua kuwa huyu bwana aliendesha operation za kuteka na kuua watanzania waliopishana nao kwenye mitazamo ndio mtu PEKEE KWENYE KWENYE SERIKALI HAWAMU YA TANO KUTAJWA NA MAREKANI KUWA ANAHUSIKA NA MAUWAJI YA WATU, AME PIGWA BAN NA U.S.A. alifanya maovu mengi kwa kisingizio cha kuwa karibu na Mkubwa, sometimes Mkubwa alikuwa hajui maovu ya Hawa kina bashite. Pia inasemekana yeye ndio alikuwa dealer Mkubwa wa drugs
 
Aiseee !!
 
Back
Top Bottom