Je, ni kweli kwamba Makonda kakimbilia Afrika ya kusini?

View attachment 1975718

Zipo tetesi kwamba yule Mkuu wa mkoa bora kuwahi kutokea nchi Tanzania Mh Paulo Makonda amekimbilia South Africa baada ya kusoma alama za nyakati .

Jf ina watu wengi kutoka sekta tofauti , kuna ukweli wowote kwenye hili , na kwanini akimbie ?
Kwa mwezi uliopita alikuwa Arusha Njiro makazi mapya na akijishughulisha na kilimo cha mboga, kwa taarifa chalii za Arusha tayari walishampiga bao kwa kuuza mazao bila kumpa chochote, akasema anamwachia Mungu.
Sasa kama amepaa hizo ni mpya
 
kuna watu ujanja wao uko humuhumu tu tena kwa sababu ya MaGod father nje ya hapo ni wachumba tu.....huyo jamaa ujanja wake mwisho ni pale Midland kwa nanihii , ngoja tuache tu....ujanja wake umeishia hapo....hahahaha ila yuko meza ya jirani hapa anasubiri naye kupewa kazi kama mwenzie ili wawazamishe CDM....hahahaha Bongo ngumu sana.....
 
Kwa mwezi uliopita alikuwa Arusha Njiro makazi mapya na akijishughulisha na kilimo cha mboga, kwa taarifa chalii za Arusha tayari walishampiga bao kwa kuuza mazao bila kumpa chochote, akasema anamwachia Mungu.
Sasa kama amepaa hizo ni mpya
😁😁 Machalii wa Arusha wakamtapeli 😬😬
 
Sasa hivi ole sabai anajutia alichokifanya
IMG-20210717-WA0001.jpg
 
View attachment 1975718

Zipo tetesi kwamba yule Mkuu wa mkoa bora kuwahi kutokea nchini Tanzania , Mh Paulo Makonda amekimbilia South Africa baada ya kusoma alama za nyakati .

Jf ina watu wengi kutoka sekta tofauti , kuna ukweli wowote kwenye hili , na kwanini akimbie ?
Sitegemei DAB kufanywa chochote ukizingatia hajakwazana na top cabinet.
Pia alisoma alama za nyakati mapema akafunga mdomo ..imemsaidia sana
 
Hii post ingekuwa imeletwa na mtu asiyekuwa wa chadema ingekuwa imeshapelekwa kwenye jukwaa la tetesi zamani sana; lakini kwa kuwa aliyepost ni mchadema wa kindakindaki basi tutaendelea kuiona kwenye jukwaa za siasa mpaka kieleweke!
 
View attachment 1975718

Zipo tetesi kwamba yule Mkuu wa mkoa bora kuwahi kutokea nchini Tanzania , Mh Paulo Makonda amekimbilia South Africa baada ya kusoma alama za nyakati .

Jf ina watu wengi kutoka sekta tofauti , kuna ukweli wowote kwenye hili , na kwanini akimbie ?
Naibu Rais.....!! Dogo ana mbwembwe huyu...!! Basi huko Sauz anajiona "rais" aliyekimbia nchi baada ya utawala wake kupinduliwa. Hatari sana!!
 
Back
Top Bottom