Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,487
Wana kilombero wanavyoipenda cdm hawawez mchagua ...!Lijualikali kashajiaribia kisiasa asubiri 250m zake za kiinua mgongo akaendeshe bodaboda huko kilombero.
Wana kilombero wanavyoipenda cdm hawawez mchagua ...!Lijualikali kashajiaribia kisiasa asubiri 250m zake za kiinua mgongo akaendeshe bodaboda huko kilombero.
Kwani Riziwan naye ana siasa kama za Ndugai za kupiga wenzake fimbo?Mtu wa Chadema akioa CCM anatengwa?
Hizi ndo siasa? ..
Dunia nzima watu wameoa kutoka upande wa pili wa wa siasa..
Mbona Riziwan alioa mtoto wa mbunge wa CUF?
Na kulikuwa hakuna shida CUF wala CCM?
wewe ni wale watetea wezi wa nchiMbowe aseme bilioni 8 amepeleka wapi.
Mtu wa Chadema akioa CCM anatengwa?
Hizi ndo siasa? ..
Dunia nzima watu wameoa kutoka upande wa pili wa wa siasa..
Mbona Riziwan alioa mtoto wa mbunge wa CUF?
Na kulikuwa hakuna shida CUF wala CCM?
Kwenye katika hakuna sehemu imesema hela zinawekwa kwenye fixed account, acha upotoshajiKumbe katiba ya chadema inaruhusu kuwaambia wabunge changeni hela tukaweke kwenye fixed akaunti alafu baada ya miaka 5 wakiuliza hela za kwenye fixed akaunti ziko wapi, unawajibu hakuna pesa yoyote na mambo yanaishia hapo?
Kweli hiki chama ni bora kabisa duniani na wanachama wake wana akili nyingi za kuchanganua mambo kuliko bindamu yoyote kwenye solar system.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa za maji taka hizi dogo kaona CHADEMA hakuna demokrasia karudi nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu anayeendesha siasa ya chuki zaidi ya Jiwe nchi hii??Siasa haihitaji hasira hata kidogo, shida ya chadema ni kuendesha chuki kwa wapinzani wenu
Kila mtu mtamwona msaliti asee.
Kwa kauli yako hii, professor Jay na wabunge wengine ambao hawajawahi kufungwa unawaweka kundi gani?Kuna mtu anayeendesha siasa ya chuki zaidi ya Jiwe nchi hii??
Huyo jamaa ni kama amejiapiza, ukiwa upinzani, kwa kutumia vyombo "vyake" vya dola ni lazima akufunge jela!
Ukiwa na hicho kiasi Cha pesa unaendesha boda boda?Lijualikali kashajiharibia kisiasa asubiri 250m zake za kiinua mgongo akaendeshe bodaboda huko kilombero.
Usipende kuishi kwenye historia. Mambo yanapobadilika na wewe badilika. Ndiyo maana Chadema walitukana sana Mhe. Lowassa lakini mwisho wa siku akawa mgombea wao na wakampitisha nchi nzima kumnadi kwa wananchi.Waliomfunga jela leo wamegeuka wema!
Hapo anapata boda boda 100 , wabunge wanapewa pesa nyingi Sana kuliko wataalamu hii si sawa tena awamu wabunge wamekula bure pesa yetu hakuna tija yeyeto waliyoleta wameshindwa kulisimamia bunge na hela wanavuta hii si sawa kabisa.
Mtaalamu anastaafu baada ya miaka 40 na apati hixo hela huku akilipwa kwa mafungu.
Huo ukosefu wa demokrasia ndani ya CDM hakuuona kipindi chooote Cha miaka minne ndo kauona Sasa wakati bungeSiasa za maji taka hizi dogo kaona CHADEMA hakuna demokrasia karudi nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
mbowe si mhasibu wa chademaMbowe aseme bilioni 8 amepeleka wapi.
Lijuakali na silinde hivi ni vichwa cdm haikutakiwa kuviachia japo Wana mtaji wa underground wengiChadema uhuni mtupu, tukisema haya mnasema hatuwatakii mema, mnaumiza sana hata wabunge wenu, hili la Juakali will go down in history.
Kafulila ccm mke wake cdm,vyama ni itikadi za kulumbana kwa hoja tu lakini wakiwa kwenye cota zao dodoma wanaombana moto na chumvi Kama kawaida tu.Mfano mimi chama changu ni Jahazi Asilia siku nikioa CHADEMA watanitrnga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lolote !Chadema uhuni mtupu, tukisema haya mnasema hatuwatakii mema, mnaumiza sana hata wabunge wenu, hili la Juakali will go down in history.