Je, ni kweli kuna watu wamefanikiwa kupitia Forex hapa Bongo?

Forex Ukituliza Akili Unapiga Hela Vzuri. Kunaa muda hua nikipata Kahela Ambacho naona hata ikipotea Fresh. Hua naingia Forex, ikinipiga hua naumia. Lakini ukipiga Hela Yake ni Tamu Sana. Unapambana Una Double Account. Alafu unaanza Kula Hela Pole Pole. Tamaa, Discipline na mitaji midogo hua vinawatoa Watu kwenye Reli. Pia Mitaji Midogo Forex Inahitaji utulivu na Akili Mingi. Nimejifunza Miaka Mitatu. Nilichogundua kupigwa hakukwepeki lakin unapunguza Tuu makali ya Kupigwa. Alafu unawapiga Zaidi. Kama umefika hatua ya Kua profitable Trader Forex. Hyo ni Kama kusoma Degree Kabisa. Mimi Sifundishi Forex, Wala Kufanya Management ya Fedha za Mtu Yoyote. Kama unataka Kujifunza Forex sio lazima Seminars Internet is Full of Everything Jifunze Pole Pole. Nawatakia Week Njema.
You are right
 
Habari wakuu, nisizunguke sana nirudi kwenye mada.. naomba kufahamu hivi kuna mtu aliyefanikiwa kupitia forex unaemfahamu?

Kuna kijana mmoja anaitwa elikana, navosikia ni miongoni mwa wana hisa wa kampuni ya ma BUS ya usafirisha "ally star Bus" kpindi cha nyuma nilikua naona akihamasisha sana watu kuhusu biashara hiyo kwenye instagram yake.. ni kijana mdogo tu naskia ana Bus zake pale ally's

Je ni kweli hii biashara inalipa? Kuna mtu unaemfahamu alifanikiwa ktk biashara hii?

Elikana kama upo hum naomba ufafanuz je ulifanikiwa kupitia forex mpka kumilika ma BUS
Tafuta pesa kijana hakuna pesa rahisi.
 
hii setup naweza ipata wapi kwa tanzania?

sssss.jpg
 
You can't be consistency by depending only technicals, fundamental is the "why" of the market direction. Ingekua hivo majority wasingekua wanaloose hvo kwa kushindwa kufuata pattern huku mkifumbwa macho na kigezo eti cha psychology mara mindset. Cku ukija kuamka usingizin utaelewa nini nakiongea, I was like you. Achana na fundamentals mnazopigwa Giza za kwenye vile viapp
Mkuu, naomba elimu ya "Why" of the market direction zaid, kama hutojali. Namaanisha fundamental ninayoijua ni hii ya muda news basi, lakin mi natrade kwa kuangalia market structure tu, yaani technical analysis
 
You can't be consistency by depending only technicals, fundamental is the "why" of the market direction. Ingekua hivo majority wasingekua wanaloose hvo kwa kushindwa kufuata pattern huku mkifumbwa macho na kigezo eti cha psychology mara mindset. Cku ukija kuamka usingizin utaelewa nini nakiongea, I was like you. Achana na fundamentals mnazopigwa Giza za kwenye vile viapp
Lakini pia napenda kuhold positions kwa muda mref(swing trder), hata wik au hata mwezi.
 
Mkuu hayo mambo ni imagery siwezi kukataa yupo dogo kamtafute insta anaitwa richlitfx ana gari land cruiser kama ya million 200 ivi ila hajawai kuonyesha plate number ya ile gari ila anajinasibu ni yake na ni mtu wa forex

Huyo elikana anadai ila uliona wapi mtu akaweka financial status hadharani kama ivyo uliona wapi mtu ana gari anaficha plate namba gari ndogo ya mil 16 ikushinde ukawekeze hisa kweny mabus makubwa je hao weny mabus walikuwa tangu lin na yeye si wajuzi hapa 2018 tunamuona alienda piga picha kwenye mabus na mwarabu mmoja pale ndo akapost kuna ana hisa

Huyo jeff alishawai kupost nyumba kwamba kuwajengea wazazi wake weny nyumba wakaona picha wakamjia juu afute akafut ile post

Mambo yanafikirisha sana mkuu diamond anavyopenda sifa ile gari yake anaonyesha plate number(rolls Royce) japo ni muongo muongo
Scammers ni kawaida sana kupiga picha kwenye mali za watu ili kuwarubuni wanaotaka kuweka pesa zao.
Hiyo michezo hata wale jamaa wa Forever living pia wanafanyaga.
 
Back
Top Bottom