Je, Ni kweli Interview ya Human Capital Co. LTD wanachaji pesa?

kidanya

Member
Apr 16, 2015
78
34
Nimeitwa kwenye interview itakayoendeshwa na Human Capital Co LTD, wanahitaji 12,000 kwa ajili ya kuendesha interview of which is non refundable.Kwa mtu anayewajua tafadhali nisaidie isije ikawa ni matapeli wanatafuta hela.
 
ukitoa pesa,dai risiti...........................ya EFD..
 
hiyo cyo interview ya kweli kuna bwana mdogo kaombwa kuchangia ili kujisajili kwa tshs 20,000/=
 
Back
Top Bottom